Kwahii speed hii ya Polepole hawa kuku ngbendu wa za BANGA hii miezi 2 wataiona miaka 30

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Polepole sio pole tena, usiku huhuu tayari kashawalipua CCM na mume wao Rostam Azizi.

Utajiri wa nchi anakabidhiwa Rostam alafu utamskia mama anasema analinda mali za nchi kwa maslahi mapana ya umma, Polepole anauliza maslahi gani hayo mapana?

Leo katukumbusha tena kuwa tumeuzwa tumepigwa bei tushtuke, mwaka huu hakuna uchaguzi

kaongezeaa tena hawa wastaafu akina viwete wanaojikuta ni washauri wa Rais hawa Mungu akitusaidia tukapata ukumbozi inatkiwa wafunguliwe mashataka wajibu kwanini walikuwa wanafanya ubadhilifu wa mali ya umma na kujimilikisha nchi?
 
IMG-20250822-WA0066.jpg
 
Back
Top Bottom