Kwaherini

1st AID

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
1,079
Reaction score
523
Kuna mwenzio nae nasubili aage lakini naona kauchuna tu.. Salam zimfikie kokote aliko.
 
Wala tusijuane,toka hapo hatujuani , nasema kwaherini ,naondoka tena,kurudi ni majaliwa ,labda baada ya miaka mingine kupita.

Wake niliowakosea nawaomba samahani sanasana ,huwezi kujua ! Lengo si kumkosea mtu ,na pia nawashukulu wale waliotoa elimu yao nao nawapa hongera wawe na moyo huohuo wasifanye ubahili kwa yale wanayoyajua. :rapture:
 
wasalimie sana na waambie nawasalimia sana.. usisahau kutuletea zawadi;-)
 
Mwiba umekuwa nabii Eliya aliyefariki juzi?
 
Last edited by a moderator:
Mwiba ukiondoka na jf inakufa
 
Last edited by a moderator:
Kuwa makini Mkuu Mwiba,Njia uendayo ina mashimo sana,,

Ukifika wape salam zao
 
Last edited by a moderator:
Naomba m kutumia hiyo ID nawe utatumia zile zingine
 
ukakae na mume salama na umtunze vizuri mumeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…