Deejay nasmile JF-Expert Member Nov 8, 2011 5,759 5,289 Apr 5, 2012 #1 tutakuwa pamoja sana hap jf.naenda zangu songea kwa muda wa miezi mitatu,nioombeeeni nisafiri salamaaa
tutakuwa pamoja sana hap jf.naenda zangu songea kwa muda wa miezi mitatu,nioombeeeni nisafiri salamaaa
Deejay nasmile JF-Expert Member Nov 8, 2011 5,759 5,289 Apr 5, 2012 Thread starter #3 Ngalangala said: likizo ya pasaka sio؟ Click to expand... yeah hujakosea
B Bosili Member Apr 4, 2012 14 8 Apr 5, 2012 #4 All the best wape hi! wangoni wote, watengo na wapangwa wote, wape hongera kwa kuamka na kuvua shuka la magamba kata ya Lizaboni Udiwani waje wawafundishe wenzao wa temeke bado wamelala hawajui kuwa sasa kumekucha ChiChiEm basi mwe
All the best wape hi! wangoni wote, watengo na wapangwa wote, wape hongera kwa kuamka na kuvua shuka la magamba kata ya Lizaboni Udiwani waje wawafundishe wenzao wa temeke bado wamelala hawajui kuwa sasa kumekucha ChiChiEm basi mwe
Kamkuki JF-Expert Member Feb 1, 2011 1,672 971 Apr 6, 2012 #5 Bora umeniaga mpendwa maana nilitaka Pasaka nije hapo
Chimunguru JF-Expert Member May 3, 2009 10,678 4,350 Apr 6, 2012 #6 utakuwa pande za wapi mkuu? matarawe, mahenge, majimaji msufini, matogoro au?
PakaJimmy JF-Expert Member Apr 29, 2009 16,203 8,725 Apr 6, 2012 #7 Dr Remmy alipata kuimba kwamba "Narudi Songea"...lakini akaishia pale Sinza kwa Remmy!...Kama uko serious hongera!
Dr Remmy alipata kuimba kwamba "Narudi Songea"...lakini akaishia pale Sinza kwa Remmy!...Kama uko serious hongera!
PakaJimmy JF-Expert Member Apr 29, 2009 16,203 8,725 Apr 6, 2012 #8 Chimunguru said: utakuwa pande za wapi mkuu? matarawe, mahenge, majimaji msufini, matogoro au? Click to expand... Au Chipole, Bombambili au Lizaboni!
Chimunguru said: utakuwa pande za wapi mkuu? matarawe, mahenge, majimaji msufini, matogoro au? Click to expand... Au Chipole, Bombambili au Lizaboni!