Wamepewa barua za kuachishwa kazi au!!!! Sijaelewa hapo.Ile kampuni giant na kongwe ya simu nchini, imeuzwa na vodafone wanatake over, huku upande wa operations L-link watakuwa wakisimamia
wafanyakazi wameshaanza kupewa barua, ila haijulikani kama watalipwa fedha za mwaka mzima kama sheria ya nchi inavyosema.
Hali imekuwa tete! sijui wateja itakuwaje maana kampuni ya L-link hailipi vizuri.
Je ni mafisadi wameona kuwa Slaa ni RAIS? au wameshatengeneza faida?
mwenye details anaweza kuongezea but so far this is the case.
Source ni yeye mwenyewe....Hivi chanzo cha habari hakiwezi kuwa mtoa habari mwenyewe? BTW majority tumeregister with an annonymous ID sasa unajuaje kama yeye si mmoja wa wafanyakazi wa Vodacom.....Source please!
SOUTH AFRICA: VODAFONE PAYS R16BN TO ACQUIRE VENFIN STAKE IN VODACOMSource please!
Source ni yeye mwenyewe....Hivi chanzo cha habari hakiwezi kuwa mtoa habari mwenyewe? BTW majority tumeregister with an annonymous ID sasa unajuaje kama yeye si mmoja wa wafanyakazi wa Vodacom.....
SOUTH AFRICA: VODAFONE PAYS R16BN TO ACQUIRE VENFIN STAKE IN VODACOM
Source: Vodafone acquired SA Vodacom