Kwaheri UKAWA, kwaheri CHADEMA katika Uchaguzi Mdogo

Kwa hali ya kutokuwa na Dira wala Mwelekeo kwa Chama kilichokuwa kinatetemesha Nchi huko nyuma wakati wa Dr Slaa (CHADEMA), ni dhahiri kuwa kitarajie anguko kubwa sana Uchaguzi Mdogo wa Madiwani 2017.

Mahali ambako kinaweza kuambulia Viti vichache ni Arusha na Moshi tu nako siyo kwa sababu ya Sera nzuri za Chama hicho bali ni kwa sababu ya Ukabila na Ukanda uliokithiri katika Chama hicho kinachotia huruma hivi sasa.

Arusha na Moshi hawachagui Sera nzuri bali ukabila na ukanda tu ndio maana Arusha Mjini wameweza kumchagua Mbunge asiyeweza kuongoza hata Mtaa.

Muda unakaribia. Tusubiri anguko kuu la CHADEMA baada ya UKAWA kuwa UKIWA.
Ndio shida ya kukosa hoja
 
Tutapigia kura hata kama likiwekwa jiwe.

Ukawa wasijisumbue hata kama hawatapiga kampendi.

Matendo na mienendo na ukandamizaji na uuwaji wa Serikali ni kampeni tosha kwa Ukawa kuwang'oa CCM.

Act talk!!

UKAWA ilishakufa siku Lipumba na Dr Slaa walipoachana na wababaishaji
 
Back
Top Bottom