mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,410
- 722
ahaaaa kumbe ndivyo walivyofanya eee!!! nikajua tv imeharibika
unayo laki..???! Hii ndoa umeshafungishwa tena ya kikristo..!
Hela ya dish na decorder sio tatizo mkuu..
Nafanya maamuzi sahihi nipate huduma iliyobora na uhakika. Hawa startimes wamejisahau sana.
Ukiwekeza maisha yako kwenye decoder kama ulivyo wewe, maisha yako yatabaki kuwa ya kulalamika tu. Huko Azam nako wanafunga Channel zote kama hukulipia, utakuja tena hapa ulalamike. Mvua ikinyesha na dish kupoteza signal utakuja tena hapa ulalamike. Wakichelewa kukuunganisha baada ya kulipia utarudi tena hapa ulalamike.
Hebu weka maisha yako katika mambo msingi sio kulia lia tu hapa kwa sababu umepunguziwa channel mbili za Mambo. Hivi unajua kama imeingizwa channel mpya ya Swahili na imewekwa kwenye Mambo? Hivi unajua kama Startimes wana channel nyingi za kuona bure hata kama hujalipia kwa mwaka mzima?
Ova
Wamekuwa kama TCCL waangalie itakula kwaoHela ya dish na decorder sio tatizo mkuu..
Nafanya maamuzi sahihi nipate huduma iliyobora na uhakika. Hawa startimes wamejisahau sana.
Hakika mkuu ,mimi na startimes navyo ving'amuzi viwili moja nyumbani na kingine dukaniUkiwekeza maisha yako kwenye decoder kama ulivyo wewe, maisha yako yatabaki kuwa ya kulalamika tu. Huko Azam nako wanafunga Channel zote kama hukulipia, utakuja tena hapa ulalamike. Mvua ikinyesha na dish kupoteza signal utakuja tena hapa ulalamike. Wakichelewa kukuunganisha baada ya kulipia utarudi tena hapa ulalamike.