Kwaheri mpenzi, bora nianze upya

mandokwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
620
Reaction score
865
Ndugu wana JF,
Nimeamua kuandika post hii sio kwakua sijui itawakwaza baadhi yenu but ni kutoa maoni yangu kwa wadada ambao wanaingia kwenye mahusiano.

Nataka kuwaambia kwamba mapenzi ya kubembelezana kila siku yanakera.

Nimeamua kuachana na my Girlfriend ambaye tumejuana like five months.

Kuna mambo mengi yanaenda sawa but nadhani tunatofautiana uelewa na maturity.

Kifupi sikuwahi kumtongoza rasmi but tumewahi kufika mwisho wa tukio once and kuna several romantic dates ambazo tumefanya out na private.

So kiasi tunajuana kila eneo la mwili.

Tatizo ni kwamba ni mtu ambaye anapenda kujionesha ni expensive wakati sio hivyo and kwakuwa kaingia ndani bila kutongozwa, analazimisha kufuta that reality.

ukimhitaji , mtaongea na kupanga date and kila kitu kinakuwa inplace then dakika za mwisho atachomoa.

sometimes anasema unaniona rahisi sana ndio maana sipendi tufanye tena.

Pia huwa hana tabia ya kusema kitu kikakamilika.

Anapiga mzinga ambao sio mkubwa but nami nimestop kulipuka na mizinga kwanini nimsaidie mtu ambaye hata mahusiano yenyewe hayana amani?

kila siku shida, kila kitu lazima umlazimishe sana.

The other day kasema nadhani tuachane nikamwambia let us tuonane uniambie kesi yako tutajua lakufanya, tukatoka night tukaenda sehemu tulivu tukiwa huko mpaka tumerudi that topic haikuja tena.

Nikampigia next day that nahitaji tumalize ile topic so that kila mmoja ajue hatma, akakataa. Last weekend tulikuwa na date and we planned ni mpick Mlimani City back to my hotel, dakika kumi za mwisho ananiambia unajua sipo kwenye mood.

Unajua tena kama a man, sikupenda but nikamwambia poa, nikampeleka beach tukapiga story tu. Tukiwa huko nikamwambia tafuta in your heart kama sipo let me know kwani my past experience not kutongoza kila siku. Nimestop misaada kwake kwani am no longer a fool and analaumu simpendi to hell.

Namaliza msichoke, please ladies if you decide to get in, mapozi yanaboa and nampiga chini soon and nimemuuliza why I should not ditch her? better nitafute mwingine tu.

mandokwa
 
Ukipata muda pitia " Me and my Girlfriend ya Tupac" Tuko kwenye mambo ya Katiba
 
Mmmmmmmmmh! We mwenyewe amekukuta poyoyo! U amtaka sanaaaa, kutwa kumlamba miguu! Bwana wangu mie, anaeniweka mjini ana jeuri balaaa! Mwanamke you know your place 24/7, mambo kiutu uzima zaidi!

Sitaki, sitaki, hakuna kubembelezana, hio hela sikupi, hakupi kweli unune, upasuke ugale gale, tena anakwambia nikisema sina nachuma dhambi bureee ninayo ila bank hio amaount ila nakazi nayo! Usiniombe hela, nikiwa nayo nakipa mwenyewe bila kuniomba ukiona sikupi ujue sina! Ukijiloga umuulize kwanini kitu flani, kwasababu nimesema mimi mwanaume kwenye huu uhusiano, naomba ikukae akilini, huu uhusiano una nafasi ya mwanaume mmoja tu nea nin mimi (yeye sasa).

Mmmmmh! Hapo kibuzi tu, sijui ukiwa mkewe utakomajeeee? Najuuta kumfahamu! Ila na mimi nina sehemu zangu namkatia, japo 70% huu uhusiano nanyanyasika kijinsia si utani! Namlia timing tu, siku mamno yangu yakikaa poa atanisikia kwenye bomba tu!

BE A MAN AND LET IT BE KNOWN THERE IS ONLY ONE POSITION FOR A MAN IN THAT RELATION AND THAT POSITION IS FILLED BY YOU!
 
Nipe namba yake nimuulize msimamo wake kama serikali 2 au 3
 
Chapa lapa mkuu huyo atakusumbua
 
^^
Simamia maamuzi yako sasa, sio uyumbe yumbe, ukiwachekea hawakawii kukuvisha kanga hao!!
^^
 
nipe namba yake nimuulize msimamo wake kama serikali 2 au 3

hope mkuu bado unasoma chuo! Siamini labda kamshitaki tamwa, otherwise chepuka ingawa naamini umeacha njia kuu unateseka mchepuko ambapo wenzako wanabebwa mgongoni na kulambwa miguu kama
ulivyoambwa a lara1
 
pole tatizo huweki kanuni tangu mwanzo jaribu kufanya mambo ambayo yatafafanya mpenzi wako akuone hautabiriki
 
Tatizo lako una fall too soon anakuambia hana mood na bado una muda wa kuenda naye beach duuu kweli wewe Bushoke,hawa viumbe wanapenda sana gangster loving
 
nimechoka kusoma tu maana hata wewe hueleweki
 


Nimependa ulivyoanza ulivyomalizia ..

Ushauri wako mzuri pia kwao dada zetu
 
mkuu kabla ujafanya maamuzi mgumu mpe muda...nasema ivi kwa kuwa wadada uweka pozi tena wakiwa wazuri uweka pozi ili kuona je utaingia na miguu miwili au mitatu au mmoja! ukilegea anaamishia debit card mfukoni mwake na kukuvuta masikio kama punda. Nakuomba mkuu kabla ya kumpiga chini fanya kama unampotezea utaona atakavokumiss then yeye mwenyewe atanyooka...ila kama haumfeel then piga chini, ila kama unahisia nae na unadhani pia naye ana mahaba kwako, usijali pozi..jaman, kwani unataka wale cheap wa kuita hotelini aje, stendi aje,dah mapenzi hayatanoga kwa kuogopana, ujue kuna utamu wake katika kumconvince na ku-win her decisions, usitake wale wa 'inama' anainama, piga goti anapiga...kaa na uyo anayehoji mambo na kutoa msimamo!

Mkuu ukimpiga chini nisikufiche utakuwa unajifariji, unausemea moyo 'nimempiga chini' roho inauma then unaiambia 'lakini si nimeamua kumpiga chini mwenyewe' apo ndo stress uanza, unaenda kule haupati kama yule, unapata then unaangukia 'kiguu na njia'au 'mama huruma' then utasema bora nirudi 'kanaani' nchi ya ahadi iko mbali, na ukirudi utamkuta gsana kakaa anakuambia '..whats up playboy...the girl z mine' utahuzunika mkuu!

Narudia, kama unampiga chini fanya kumpa muda then jifanye hauna tym naye, akipotea jumla iyo ndo itakuwa lengo lango limetimia 'Automated termination' ila aya ya kuamka na maamuzi mkuu uwa badae yanaumiza, unless uwe tayari UMEMPATA MWINGINE ANAYEKUFAA,,,,huu sio mchango tu, ni USHAURI wangu

GSANA.
 
pole tatizo huweki kanuni tangu mwanzo jaribu kufanya mambo ambayo yatafafanya mpenzi wako akuone hautabiriki

kweli miss, uwa mnajishauri sana...kawaida wadada wanaweka pozi na mnataka mtu aku-win decision yaani anakuwa na maamuzi magumu then unambadili mdada mpaka baada ya 'safari' anajisemea hata kwa kukupiga ka ngumi ka kizushi eti 'alaf sijui umeniletaje apa;sijui nimefikaje,wewe kaka ni hatari' anacheka tu, ila aya ya sitaki then unakasirika, kwenye mapenzi utaumia saana!
Mdada akizingua eti siko kwenye mood siji, ni simple unaweka simu busy au haupokei simu, baada ya nusu saa utasikia ..'dear niko apa nje kwenye parking' eh eh eh ujue tayari kaona mmmh apa noumaaa!!
Dah miss neddy kwa nini uwa mnaweka mazingira magumu?mpaka raia atumie akili ya ziada!!
 
kuna wanaume wanamda wa kuchi kuchi mbona mi sipatagi hiyo nafasi aiseee... aisee piga chini sepa bado mtoto huyo ndo maana anakuzungusha kama mpira wa kona... achana nae kama anakupenda atarudi tena atakuwa na adabu
 
Bob nikwambie tu kwamba huyo "demu" hakutaki!,na hivi umesitisha "misaada" muda si muda she will spit on your face...sasa bora uchape lapa kimya kimya ujipe matumaini kwamba ni wewe ndo umeamua iwe hivyo...kwa ninavyokusoma hapa siku ukipigwa hicho kibuti(ambayo haipo mbali) unaweza kulazwa kabisa kwa jinsi hapa ulivyolalamika.
 

hahahaha umenena akikuletea pozi unajifanya kama hujali unampa jibu fupi mwenyewe atajirudi lakini ukiwa upo upo kama popohahaha utaendeshwa ka gari bovu
 
kuna wanaume wanamda wa kuchi kuchi mbona mi sipatagi hiyo nafasi aiseee... aisee piga chini sepa bado mtoto huyo ndo maana anakuzungusha kama mpira wa kona... achana nae kama anakupenda atarudi tena atakuwa na adabu

aiseee....loading error...
 
Nilikua nasubiri umtose tu halaf namchukua...loading error...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…