Mghoshingwa
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 305
- 73
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Niachie huo mchepuko wako.
Kama anakuzingua sana muhadithie mkeo anaweza kukushauri vizuri sana. Mke huwa mfariji sana hasa wakati wa matatizo.
Mmmh....usiseme hivyo. Mapema sana. Duniani kuna Kuumbika na kuumbuka.rip masaburi uliishi maisha ya ukweli kabisa kama baba yetu ibrahimu na yakobo
sinaga flavour kabisa kudate mume wa mtu hata awe na offer gani
hyo ni kuumbuka au kujitakia?Mmmh....usiseme hivyo. Mapema sana. Duniani kuna Kuumbika na kuumbuka.
Na wewe dogo na huo uinjinia wako unakuwa kama ndio wa kwanza kusoma engineering asee, kua basi ukomae kidogo jamii ione uinjinia ndani yako da!Ungesoma engineering usingeli kuwa una BWABWAJA katika uandishi wako....
Sio "nimeona na nina familia" sema "nimeoa na nina familia"
Sio "nikakuomba radhi" sema "nikamuomba radhi"
Sio "abadai yuko ofisini" sema "anadai yuko ofisini"
Sio hukupokea simu" sema "hakupokea simu"
Sio "hutaki kuongea" sema "hataki kuongea"
Sio "Mwenge ushauri wowote" sema "Mwenye ushauri wowote"
Mlikua wapi kusoma Engineering.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
hivi utajiskiaje dada yako akiwa anatembea na mume wa mtu ,au binti yako au mama yakoMmmh....usiseme hivyo. Mapema sana. Duniani kuna Kuumbika na kuumbuka.
Nime kuelewa miss. Mambo ya umri tu miss.kapata mwenzie , kama unapenda familia yako achana naye sababu anakoelekea ni kukuvuruga zaidi.... ameshindwa kuheshimu mipaka yake , ameanza kujilinganisha na mkeo atafika mahali atakuita usiku wa manane umwache mkeo kitandani umfuate... pamoja na yote acha ubinafsi, why you put your marriage at risk?
achana na hiyo itakugharimu soon or later.. kuwa mwanaume si kudinda na kuchomeka kwenye kila uke.. mwanaume anayejielewa anayeheshimu familia yake na kuangalia future ya familia yake kimaendeleo, HAKUNA MWANAUME ALIYEWEKEZA KWENYE MBUNYE AKAFANIKIWA ZAIDI WANAKUPOTEZEA MUDA.. REFER TO KING SOLOMON.......... familia yako kwanza mkuu... embu kaa mwezi bila kuchepuka bila kutongoza mwanagalie mkeo alivyoumbika mpe nafasi yake mtoe out uone kama hutafurahia maishaNime kuelewa miss. Mambo ya umri tu miss.
These are spelling mistakes. Deal with the logic. Nina familia ...sijaoaUngesoma engineering usingeli kuwa una BWABWAJA katika uandishi wako....
Sio "nimeona na nina familia" sema "nimeoa na nina familia"
Sio "nikakuomba radhi" sema "nikamuomba radhi"
Sio "abadai yuko ofisini" sema "anadai yuko ofisini"
Sio hukupokea simu" sema "hakupokea simu"
Sio "hutaki kuongea" sema "hataki kuongea"
Sio "Mwenge ushauri wowote" sema "Mwenye ushauri wowote"
Mlikua wapi kusoma Engineering.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
wewe wee rekebisha kauli yako unafikiria kuoa ni kuvaa shela acha acha kabisa haraka sana... umezaa una mtoto usitengeneze mazingira ya kumpa shida mwanao sababu ya mbunye za nje tulia muda unaotumia kutia huko nje unaweza kaa na mwanao mkacheza au ukalima mboga za majani kwenye ndoo ...ACHA KABISA NISIKUSIKIE .These are spelling mistakes. Deal with the logic. Nina familia ...sijaoa
wewe wee rekebisha kauli yako unafikiria kuoa ni kuvaa shela acha acha kabisa haraka sana... umezaa una mtoto usitengeneze mazingira ya kumpa shida mwanao sababu ya mbunye za nje tulia muda unaotumia kutia huko nje unaweza kaa na mwanao mkacheza au ukalima mboga za majani kwenye ndoo ...ACHA KABISA NISIKUSIKIE .