Kwaheri mbunge wangu Magdalena Sakaya 2020

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,490
96,054
Nasikitika sana kwa kitendo anachofanya mbunge wangu Sakaya kumkumbatia kiongozi wa kuokoteza ambaye kimsingi alishaikimbia cuf sisi wapiga kura wake tunakuhakikishia kuwa 2020 usijisumbue kupoteza hata ela yako ya kununua form ya ubunge maana hatutakuchagua kamwe.
 
soon ataamia CCM maana hana namna sikwakutumika na Lipumba kwakiasi hicho.....Leo hii haoni Nguvu ya Ukuwa kua ndoiliyompatia ubunge Tabora....Hivi CDM au NCCR wamgesimamisha wagombea angeshinda kweli? Lipumba anytime anaweza pata dili nje ya nchi akawakimbia watapataje aiibu?
 
Mkuu nimeamini kabisa huyu Sakaya anakosa shukrani kabisa na anajisahau tu kuwa bila nguvu za ukawa asingerudi bungeni,
Kweli tenda wema uende
 
Nasikitika sana kwa kitendo anachofanya mbunge wangu Sakaya kumkumbatia kiongozi wa kuokoteza ambaye kimsingi alishaikimbia cuf sisi wapiga kura wake tunakuhakikishia kuwa 2020 usijisumbue kupoteza hata ela yako ya kununua form ya ubunge maana hatutakuchagua kamwe.

Eeeh umehama Arusha tena! Umehamia kwa wanyamwezi ndugu yangu Mmawia??!!
 
Wana kaliua hatumtaki kabisa,vijiji vya uyumbu,makubi,zugimlole,kangeme,lumbe A,lumbe B,tisini,ugala ambako kuna wapiga kura wengi asahau kupata kura.

Hata kapuya kura za kutoka hayo maeneo ndo zilikua zinambeba.
 
Ni maoni binafsi mno
 
Mkuu nimeamini kabisa huyu Sakaya anakosa shukrani kabisa na anajisahau tu kuwa bila nguvu za ukawa asingerudi bungeni,
Kweli tenda wema uende
Mkuu,tena kaliua hakuna alie kua anamjua.na ilikua tu ni ule utaratibu wa ukawa kuachiana majimbo na cuf ikaachiwa jimbo hilo la sivyo chadema ndo walikua na mtaji mkubwa wa wapiga kura.

Uchaguzi wa serikali za mitaa ulio pita chadema ilipata vijiji 20 na cuf vijiji 8.kihesabu za uchaguzi utaona kua cdm ndo walitakiwa kugombea jimbo la kaliua.
 
Yawezekana humtaki peke Yako ndugu na unapaswa kujua sakaya hakupita kwa nguvu ya ukawa sakaya amepita kwa sababu kapuya alikua amechokwa na wanakaliua wengi kutokana na kero zake ndani na nje ya CCM so mama Yule ameptishwa na CCM walio weng kuliko ukawa ambao kaliua hauna mizizi
 
Eeeh umehama Arusha tena! Umehamia kwa wanyamwezi ndugu yangu Mmawia??!!
Hahaha mkuu hapo ndo utawajua vijana wa ufipa kuwa wapo katikati ya mgogoro huu...si ajabu hio jumapili ungemuona mmawia na salaryslip wamevaa tisheti za CUF wakidai hawamtaki Lipumba....
 
Wana kaliua hatumtaki kabisa,vijiji vya uyumbu,makubi,zugimlole,kangeme,lumbe A,lumbe B,tisini,ugala ambako kuna wapiga kura wengi asahau kupata kura.

Hata kapuya kura za kutoka hayo maeneo ndo zilikua zinambeba.
Nikweli mkuu lazima kumuwajibishe na ndio atajua kuwa usaliti ni kitu kibaya sana maishani
 
Mkuu,tena kaliua hakuna alie kua anamjua.na ilikua tu ni ule utaratibu wa ukawa kuachiana majimbo na cuf ikaachiwa jimbo hilo la sivyo chadema ndo walikua na mtaji mkubwa wa wapiga kura.

Uchaguzi wa serikali za mitaa ulio pita chadema ilipata vijiji 20 na cuf vijiji 8.kihesabu za uchaguzi utaona kua cdm ndo walitakiwa kugombea jimbo la kaliua.
Mama Sakaya kaonesha kuwa huru vya kutosha na ni vyema ameonesha msimamo wake, ni ujinga kutegemea ajipendekeze kwa kila kitu kwa CDM/Maalimu eti tu kwa vile asingeshinda bila wao, NONSENSE.
 
Sakaya anaelewa kabisa hawezi kurudi hivyo ameamua kuharibu moja kwa moja.
Ameamua kushikamana na mtu ambaye hawezi kushinda hata Udiwani.
Ametusaliti sisi wapiga kura wake na lazima tumuhukumu
 
Mkuu,tena kaliua hakuna alie kua anamjua.na ilikua tu ni ule utaratibu wa ukawa kuachiana majimbo na cuf ikaachiwa jimbo hilo la sivyo chadema ndo walikua na mtaji mkubwa wa wapiga kura.

Uchaguzi wa serikali za mitaa ulio pita chadema ilipata vijiji 20 na cuf vijiji 8.kihesabu za uchaguzi utaona kua cdm ndo walitakiwa kugombea jimbo la kaliua.
Mkuu cha kufanya ni kuzidisha mshikamano na moyo wa ushindi ili 2020 tuichakazd ccm tena kwa kuuchagua upinzani wa kweli
 
Back
Top Bottom