Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,035
- 4,418
Tusubili muda,lakini leo man United anakazi ngumu sana!Leo ni tatu bila
Ha..ha..ha You are in for a big disappoinment.
tatu bila ndio inakuwa kwa heri?.........what about the return
leg?
Leo ni tatu bila
poleeeee.ndo unaamka????nakutakia siku njema
Keep on dreaming
Hapo kwa Welbeck ndiyo wamekosea ni bora mara mia angempanga Ashley Young au Kagawa.
au LUIS NANI hii mechi inatakiwa wapangwe wachezaji wenye uwezo wa kumiliki mpira na Kasi.Hapo kwa Welbeck ndiyo wamekosea ni bora mara mia angempanga Ashley Young au Kagawa.
Tusubili muda,lakini leo man United anakazi ngumu sana!
I always dream what is about to happen
Mkuu kuna baadhi ya marehemu huwa wanakufa na watu wakati wa kusafirishwa!Kazi ngumu?
Mkuu, marehemu ana kazi?