kwaheri JF

Duuuh! Umeongea kwa uchungu sana nasty! Inasikitisha sana

 
kha,wamenichosha mwaya yan haipiti post 2 hao washantaja me sitakiii. . .

Waswahili husema kama mtoto ukimwita shida,masumbuko,tabu maisha na mienendo yake ya maisha kwa asilimia 90 ita-reflect jina lake. Kwa hyo usijali inawezekana usumbufu unaopata ni directly correlated na jina lako, 'Charming lady'! So plz just ignore them.
 
Using'ang'anie jukwaa moja kama kupe na ng'ombe!
Karibu hata kwenye jukwaa nyingine kwn upo huru Mpendwa wetu!

Kuna usemi huu! KELELE ZA CHURA HAIMNYIMI NG'OMBE KUNYWA MAJI.



aku nshachoka kutajwa tajwa mie, nakosa amani kisa. . . baki na jf yenu !!!!!
 
C'on charminglady,
yaani binadamu, humjui hakujui akukoseshe amani?

Si umuignore tu?
Tena mdharau tu......

Ishi maisha ako jinsi utakavyo na si vile mtu mwingine atakavyo....

Wanga wapotezee tu....
 
Last edited by a moderator:
Khaaaaa......makubwaaaaa!
Kutajwa tu, we hoi....
 
Umenifanya nimkumbuke bebiii ambaye sasa hivi anajiita Smile. alishatuaga mara nne na bado yupo tu. alikua bado dogo, Ukimuudhi kidogo tu anaanzisha thready ya kwaherini, Ukimpiga mkwala kidogo tu anasema hamunioni tena.
Sasa kwa mfano wewe ukiondoka si utakuwa umenikomoa mimi? Mi nimekukosea nini?. Kama vipi ukiondoka nami naondoka na hawataniona tena jf. Mia
 
Last edited by a moderator:
usilolijua ni kama ucku wa giza. . we acha tu mkuu!

Heshima yako mkuu. Pole sana kwa yaliyo kusibu. Umekimbia online tongozo unakimbilia face2face tongozo mtaani?
basi kabla hujaondoka tuachie your full address hadi na namba ya nyumba, jina la balozi na majina matatu ya mwnye nyumba unapo kaa au baba yako. Hakika ntafika tu. Mia
 
Nimecheeeeeeeeeeeka,why should someone take things personaly jf? Mi nshawahi kusema kwangu jf inanipa brain massage,nikiwa jamvini attention yangu ni thread za kunivunja mbavu,period. Kama ni kupasuka kichwa acha biashara zangu zinipasue kichwa nikiingia jf nicheke mpaka mbavu ziume.
By the way darling The secretary hangover inaniua niandalie supu pliz.
 
Last edited by a moderator:
beibe nasty kipenzi najua unanipenda sana km shost ako hata me nakupenda, u cant blv nami chozi limenitoka nlivosoma post yako. hebu ngoja nifikirie mara mbili tatu,bt moyo unakataa kweli!

Labda sina maneno mazuri na matamu yakukusihi uweze kubaki my friend ila kama utaondoka kaa ukijua my heart is in pieces iwish i culd make u stay bt it seems imefail.
 
Last edited by a moderator:
Duuuh! Umeongea kwa uchungu sana nasty! Inasikitisha sana
Jana tu alikuwa anfuraha ameomba ushauri juu ya malaria leo anatuaga kwanin lakin jamni aaaaah mi sielewi kila mtu anamoyo wake kweli sazingne mtu ankujibu dry au anasema hovyo bt hupaswi kukasirika kuna watu wamezaliwa hivoo na kuwaepuka ni rahis mnooo ni kuwadharau tuu mbona utaishi kwa aman ruta kiukweli mi sijapendezwa kabisaaaa na hiki kitendo cha huyu shoga angu sijapenda hata kutajwa si ushukuru basi ata watu wanakuwaza inamaana hw important u are to them u do affect them in their online life smtm shata kwa live life jaman cl this is my last word to my switi shost pliiiiiz dont gooo away pliiiiz.
 
charminglady nini tena mamito?? usikimbie tatizo, face na ulitafutie solution, thats how a strong woman is and should be! mwahhhhhh!

mpnz, nimevumilia nimechoka kha! unajua nahc tatizo sina mume humu ndo maana wananisakama. sijui nitafte mume niolewe may be usumbufu utakoma! au unanishaurije dadangu wa moyoni?
 
Last edited by a moderator:

ngoja nijiite angrylady ili nisisumbuliwe kha!
 
Using'ang'anie jukwaa moja kama kupe na ng'ombe!
Karibu hata kwenye jukwaa nyingine kwn upo huru Mpendwa wetu!

Kuna usemi huu! KELELE ZA CHURA HAIMNYIMI NG'OMBE KUNYWA MAJI.

hyo sio solution mkuu, kwan mie sio mwanasiasa so siwez kwenda jukwaa la siasa, mambo ya kikubwa pia siyashabikii. . . kidogo kwny jukwaa la dini.
 
Khaaaaa......makubwaaaaa!
Kutajwa tu, we hoi....

yan bora kuwa hoi, hadi nimepungua kilo 3 tangu waanze kunisakama. hv akina wema,wolper na uwoya wana-handle vp hizi kadhia? Remmy. . .
 
Last edited by a moderator:
Khaaaaa......makubwaaaaa!
Kutajwa tu, we hoi....

yan bora kuwa hoi, hadi nimepungua kilo 3 tangu waanze kunisakama. hv akina wema,wolper na uwoya wana-handle vp hizi kadhia? Remmy. . .
 
Last edited by a moderator:

njoo tuondoke pamoja tukaanzishe sosho netiweki yetu mwe!
 
Last edited by a moderator:
ngoja nijiite angrylady ili nisisumbuliwe kha!
Name doesnt reflect especially hapa kwa online mtu anaamua tuu kujiita hivii kwa mfano mtu anjiita hot,sex bt in reality they are not au mtu anjiiita boflo, kongosho,cux, bt they are realnt jaman cl kumbuka u are charming for real n udnt have to fake wala nin ts u bana cum on woman u run this jukwaa pia plizz show them dat u dnt gv a damn abt the F***n shit they are doing u big gal n u strong n u super woman cum on cl pliiz
 
mpnz, nimevumilia nimechoka kha! unajua nahc tatizo sina mume humu ndo maana wananisakama. sijui nitafte mume niolewe may be usumbufu utakoma! au unanishaurije dadangu wa moyoni?
Waume wa chitchat huwataki sasa unatakaje hebu ni pm basi unambie nani unamzimia nifanye kazi mimi
 

asante, address yangu ni
s.l.p 2015 mwanza.
nyumba namba 12,
mtaa wa nyakurunduma
kijiji cha nyamwilolelwa
kata ya nyangh'olong'o
ubalozi wa mpolampolantondo
mwenye nyumba anaitwa suba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…