Sio kweli Mungu ana makusudi yakeTufanye kazi kwa bidii zote tuondokane na hili lindi la umaskini jaman...yaan mnaona bila yeye mambo yatabounce..why
Ila wasahau pesa za kupewa pewa barabaraniMama Samia S Hassan, the Iron lady, ametuhakikishia hakuna litakalo haribika[emoji120]! Hapa ni kazi tu! Tuendelee kufanya kazi! RIP our hero! Your spirit 'll live on [emoji110]!
Hahahaa u speak my mind๐คฃ๐คฃVijana acheni kulialia chapeni kazi kumuenzi Magufuli.
Mwanaume mzima unakuja kuanzisha Uzi wa Kuonewa huruma.
Ndio kinachowalizaIla wasahau pesa za kupewa pewa barabarani
Hiyo siwezi isemea! Ngoja tumzike kwanza shujaa wetu! RIP our hero ๐!Ila wasahau pesa za kupewa pewa barabarani
Vya dezo dezo mzee alikua anatafuta sanaa huruma kwa wanyonge.. watu wanahisi et ndio mwisho wa TZ akili finyu sanaNdo kinachowaliza
Kama nakuona vile๐ sijui kabla ya Magufuli Tanzania haikuwepo, huenda ndo aliyeanzisha hili taifa ...Tufanye kazi kwa bidii zote tuondokane na hili lindi la umaskini jaman...yaan mnaona bila yeye mambo yatabounce..why
Tutawalazimisha wawajibike! Tumeshaonja utamu lazima tuchonge mzinga i see! RIP our hero ๐๐!Ndio maana tunapiga kelele mifumo iboreshwe,kama sheria zipo,polisi wapo mahakama,bunge lipo, kwanini tuhofu kuonewa?Ni kwa sababu hizo taasisi haziko imara,Yeye JPM ndio kachangia kwa sababu aliwaaminisha watu yeye ndio suluhu ya kila kitu,Si mahakam si Bunge wala Jeshi,akifanya uamuzi hakuna wa kupinga,
Sasa matokeo yake Yeye kaondoka tunarudi kwenye wasiwasi uleule alioukuta na akaucha,yeye aliamini katika Mtu imara sio taasisi imara.
Ukiwasikiliza CCM unaweza sema nchi imepata uhuru 2015Ujinga tuuu, hii nchi aliyeiumba ni nan ? Acheni kumpa sifa JPM hata zisizomstahli .....