Kwaheri CCM, kwaheri umaskini

Kwaheri CCM, kwaheri umaskini

Mcharuko

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
209
Reaction score
175
Ni hiki tu ndicho ninachoweza kuzungumza katika wakati huu Muhimu tunaoelekea kwenye mabadiliko, Sijaona watu wanaoiunga mkono kwa nguvu kubwa CCM zaidi watoto wa viongozi, ndugu na jamaa wa wanaCCM hao ambao kwa namna moja wamekuwa wakinufaika moja kwa moja na mfumo uliopo.

Mfano: Tumesoma na watoto na ndugu kadhaa wa watu wenye nyadhifa serikalini Wenzetu hawa hawajapata tabu ya kutafuta ajira bali ajira zimewatafuta, Tuliosota na vyeti kwa muda mrefu tunasema -

KWAHERI CCM KWAHERI UMASKINI.
 
Back
Top Bottom