Kwaheri Bariadi, kwaheri Teddy

Nice Ngonyani mbona umeniargued kiasi hicho haya sorry kama nimekuuzi ila ndo wewe
 
hHaha si mgawanyo w majukumu wewe unanunua simu ye ananunua vocha lol

pagumu hapo wewe! mi nangoja ile final stage ya kula apple!:A S wink:

wengine wafanye mengine! lol..
 

ha ha ha Mentor uko vizuri lkn na hii sisomi. Maana unajua kuniumiza. Tangu Kisa cha mke wa waziri, sina hamu nawe Mentor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…