Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,759
- 22,394
Hii ni kwa ambao walienda Malawi hivi karibuni, naomba kujua kwacha ya Malawi sawa na shilingi ngapi za Tanzania.
Kwahiyo kwacha 1 ya Malawi haina thamani kwa shilingi ya Tanzania.0.008
Zinakaribiana kufanana mkuu hazijaachana mbali ni point tuKwahiyo kwacha 1 ya Malawi haina thamani kwa shilingi ya Tanzania.
Asante.