Kwa yoyote anaejua batch scripting

sulejman

Member
Joined
Jun 25, 2016
Posts
35
Reaction score
30
Habar zenu wana JF.
Msaada jinsi ya kuandika batch script ambayo itaweza kurename filenames kwa kuongeza namba kuanzia moja mpaka namba ya mwisho kutegemea idadi ya files kwenye folder lakini original filename zisifutwe
Mfano> file ziko tatu
Abcd
Efgh
Ijkl
............
Then ziwe renamed hivi>
1. Abcd
2. Efgh
3. Ijkl
........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…