kwa yotote anayehusika

mwana wa africa

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
548
128
nimefuatilia kwa mamakini sana hutuba nzuri zilizowakilishwa na mwenyekiti wa kamati ya bunge ya nishati na madini pamoja na maoni ya kambi ya upinnzani katika wizara hiyo na nimeona itakuwa busara kama kuna yeyote mwenye access na hotuba hizo aturushie hapa jamvini ili nasi tupate kusoma ndani ya misatari na kuona kinachoendelea tanzania katika sakata la umeme na madini kwa undani wake. na zaidi ya sana hizi ni aina ya hotuba ambazo zinastahili kusomwa na kuhifadhiwa kwa ajili ya reference kwa matamko mbalimbali yanayotolewa na serikali juu ya sakata la kupata suluhu ya umeme na hatma ya madini madini yetu. Naomba kuwasilisha hoja.
 
HOTUBA YA MNYIKA mh. Mtema aliipost jana, hebu cheki humu vizuri, yaelekea wewe ni mtoro humu jamvini!
 
Back
Top Bottom