Kwa yeyote mwenye matatizo ya figo nipo tayari kumpa figo langu moja

Dec 1, 2014
10
20
Naitwa Afredy, ni mtanzania nampenda Mungu. Natambua wapo watu wenye matatizo ya figo na wapo katika hali mbaya ya kupoteza maisha yao.

Nipo tayari kutoa figo langu moja ili kuokoa maisha kwa yeyote aliye katika hali mbaya ya kupoteza uhai namba yangu 0716284572.
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
49,346
2,000
wewe mleta uzi huu elewa kwamba huwezi toa figo yako ili uokoe maisha ya wengine.wewe ukibaki na figo moja unafikiri mwili wako utakuwa kamili kama wali.
sema labda unauza figo yako kwa matatizo ya fedha tu
ushauri wangu kwako-
1) mtafute ruge au chenge au sethi wana mijielaa ya escrow wapige mzinga watakupa mapene
 
natoka hapa

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
8,499
2,000
wewe mleta uzi huu elewa kwamba huwezi toa figo yako ili uokoe maisha ya wengine.wewe ukibaki na figo moja unafikiri mwili wako utakuwa kamili kama wali.
sema labda unauza figo yako kwa matatizo ya fedha tu
ushauri wangu kwako-
1) mtafute ruge au chenge au sethi wana mijielaa ya escrow wapige mzinga watakupa mapene
Acha kuharibu biashara za watu mkuu Hahahaaaa bongo noma sana!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom