Kwa yeyote anayeijua barabara ya Korogwe,Mswaki, Singida

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Oct 26, 2014
115
66
NAOMBA MSAADA KWA YEYOTE ANAYEJUA HII BARABARA

TANGA TO SINGIDA kupitia Handeni , Mswaki , Chandam, Goma ,Kondoa , Mugaa ..

Je barabara hii inafaa kwa magari makubwa (semi trailer) ?

Je Ina hali gani ? je ni ya LAMI ?

Je kupitia njia hiyo ni km ngapi toka Tanga hadi Singida ?
 
MSAADA KWA YEYOTE ANAYEJUA HII BARABARA
 
Mwisho wa lami ni Handeni, kuanzia handeni to Singida ni vumbi na ni 506km kutoka korogwe, kwa msimu huu wa mvua sina hakika ya ubora wake kwa gari kubwa kama hiyo wasubir humu watakwambia juu ya hili ila kwa gari ndogo haina shida.
 
shukran mkuu
 
Mhh kwa sasa hv hata gari ndogo ni mtihan japo utafika maana lami unaimalizia handeni na sasa hv mvua imenyesha hapo katikati sehem nyingi sana maji yameharibu barabara na mbaya zaid kuitafuta mswaki katikati kuna tope yaan udongo mfinyanzi kuna rafiki yangu alitokea konsoa majuz ndo kabambia hivyo ana defender
 
Back
Top Bottom