Tatizo ni kwamba wanaojitambua wanataka kuwa wao ni watizamaji tu kama mashabiki halafu wanataka wale wasiojitambua ndio wachukue hatua kivitendo wanasahau kwamba wale hawajitambui.
Aisee hii dunia ni kama tunarudi nyuma.
Yaani kupost tu unaogopa je, wale Wazimbabwe na wale wa MSUMBIJI waluopigania uhuru wao kwa damu wangekuwa waoga si mpaka leo wangekuwa wanatawaliwa.