Kwa yaliyonikuta sifikilii kupenda tena

Kwa yaliyonikuta sifikilii kupenda tena

Dogo mbona unarudia rudia kupost?
Badala ya kuhangaika kuchomoa SAP ww uko busy na Jf!
 
Mapenzi na shule ni sawa na .... by Vicky Kamata.
Malizia hiyo methali!
 
Bachelor of education.......... Na sio BACHEROL of education
Mtu kama wewe umefikaje chuo kikuu kama huwezi kuandika hata maneno madogo kama haya kwa ufasaha?
Upo Chuo kikuu lakini unaandika kama mwanafunzi wa primary school. Aibu sana
 
confused!!unatudharirisha wanaume wenzio na wana-bachelor pia.
 
Back
Top Bottom