Moyibi
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,054
- 702
Kwenu mabinti,kabla ya kutanua
miguu kwa wanaume waliooa
tafadhali soma hapa:
1. Kitu anachokitaka kwako ni sex tu.
Atakuja na kuondoka kurudi kwa mkewe
na familia yake.
2. Hawezi kumuacha mkewe na familia
yake kwa ajili ya wewe labda awe mbulula
wakuja
3. Ataonyesha anakupenda lakini
kumbuka hauko peke yako
4. Baada ya kukutumia atakuacha na
kumfuata mwingine
5. Na kamwe hutoweza kumfanyia lolote
zaidi ya kuwa hauna uhuru naye
6. Kumtegea mimba haitakuwa suluhu ya
yeye kukupenda bado anafamilia na
inamhitaji
7. Mali na fedha vyote ni vya yeye na
familia yake na wewe utaendelea kufaidi
chipsi kuku tu na kutoa huduma
8. Kamwe haupo katika mipango yake ya
baadaye
miguu kwa wanaume waliooa
tafadhali soma hapa:
1. Kitu anachokitaka kwako ni sex tu.
Atakuja na kuondoka kurudi kwa mkewe
na familia yake.
2. Hawezi kumuacha mkewe na familia
yake kwa ajili ya wewe labda awe mbulula
wakuja
3. Ataonyesha anakupenda lakini
kumbuka hauko peke yako
4. Baada ya kukutumia atakuacha na
kumfuata mwingine
5. Na kamwe hutoweza kumfanyia lolote
zaidi ya kuwa hauna uhuru naye
6. Kumtegea mimba haitakuwa suluhu ya
yeye kukupenda bado anafamilia na
inamhitaji
7. Mali na fedha vyote ni vya yeye na
familia yake na wewe utaendelea kufaidi
chipsi kuku tu na kutoa huduma
8. Kamwe haupo katika mipango yake ya
baadaye