usijalisana
Member
- Jan 31, 2019
- 26
- 9
Habari zenu wana jamiiforum, nimepangiwa shule ya sekondari Budalabujiga, iko H/shauri ya wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, anaeifahamu pleaae naomba anijulishe kuhusu usafiri kutokea Dar, mazingira ya shule, je kuna nyumba za kuishi shule? Na kadhalika
Mkuu dsm kama ulkua private nilete barua
nyumba zipo mkuu ila za kubanana kuna headmaster alikuwepo hapa anaitwa Angelo we hutamkuta amehamishwa alikuwa mnoko huyo we acha tu. njoo utatukuta mzee.[/QUOTE]Habari zenu wana jamiiforum, nimepangiwa shule ya sekondari Budalabujiga, iko H/shauri ya wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, anaeifahamu pleaae naomba anijulishe kuhusu usafiri kutokea Dar, mazingira ya shule, je kuna nyumba za kuishi shule? Na kadhalika
Kutoka ubongo panda gari za kwenda simiyu hizo zinaishia bariadi mjini na utafika usiku kama sikosei. Ukiwapo bariadi mjini asubuhi au muda wowote fika stand ya zamani iliyopo mjini kati. Uliza gari za kwenda itilima / lagangabilili. Ushauri panda gari ndogo maarufu kama michomoko. Mwambie dereva akushushe budalabujiga sek . atakushusha kilopo kibao cha hiyo shule. Shule iko barabani just off load.Habari zenu wana jamiiforum, nimepangiwa shule ya sekondari Budalabujiga, iko H/shauri ya wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, anaeifahamu pleaae naomba anijulishe kuhusu usafiri kutokea Dar, mazingira ya shule, je kuna nyumba za kuishi shule? Na kadhalika
Kutoka ubongo panda gari za kwenda simiyu hizo zinaishia bariadi mjini na utafika usiku kama sikosei. Ukiwapo bariadi mjini asubuhi au muda wowote fika stand ya zamani iliyopo mjini kati. Uliza gari za kwenda itilima / lagangabilili. Ushauri panda gari ndogo maarufu kama michomoko. Mwambie dereva akushushe budalabujiga sek . atakushusha kilopo kibao cha hiyo shule. Shule iko barabani just off load.
Okey sawa shukran, nauli je ni bei gani kutoka Dar had shuleni
Nauli Dar (Bariadi)Simiyu ni sh elf 45.. Bus zuri na la uhakika ni Ally's tu..
NB. Usipande Simiyu Express wala Najmunisa utalala njiani ukishuka utaashuka na kunguni kama wote.
Karibu kwa Mh. A. Mtaka
Kwa nini asipande ya mwanza alale mwanza kesho yake ndio apande ya huko ili afanye uchaguzi mzuri wa basi ile safari ni ndefu sanaNauli Dar (Bariadi)Simiyu ni sh elf 45.. Bus zuri na la uhakika ni Ally's tu..
NB. Usipande Simiyu Express wala Najmunisa utalala njiani ukishuka utaashuka na kunguni kama wote.
Karibu kwa Mh. A. Mtaka
Nashauri panda dar lux usafiri kwa raha ulale mwanza kesho uamkie bariadi wilayani uripoti ndio uende shule kwakoOk shukran sana mkuu
Nashauri panda dar lux usafiri kwa raha ulale mwanza kesho uamkie bariadi wilayani uripoti ndio uende shule kwako
Nashauri panda dar lux usafiri kwa raha ulale mwanza kesho uamkie bariadi wilayani uripoti ndio uende shule kwako
Kwa nini asipande ya mwanza alale mwanza kesho yake ndio apande ya huko ili afanye uchaguzi mzuri wa basi ile safari ni ndefu sana
Hivi nauli Dar mpaka Maswa ni hiyo hiyo 45?Nauli Dar (Bariadi)Simiyu ni sh elf 45.. Bus zuri na la uhakika ni Ally's tu..
NB. Usipande Simiyu Express wala Najmunisa utalala njiani ukishuka utaashuka na kunguni kama wote.
Karibu kwa Mh. A. Mtaka