G GK Francis Member Joined Aug 16, 2013 Posts 17 Reaction score 0 Jul 12, 2014 #1 Tafadhari naomba mnisaidie kama kuna mtu anaifahamu vizuri hii Kampuni inayojiita A & M FREIGHT LIMITED na Dr. Amy Aliku mwenye No.0769 014 953 anayedai kuwa Mkurugenzi wa Kampuni hiyo hapo Mtwara. Naombeni wanajukwaa mnifahamishe.
Tafadhari naomba mnisaidie kama kuna mtu anaifahamu vizuri hii Kampuni inayojiita A & M FREIGHT LIMITED na Dr. Amy Aliku mwenye No.0769 014 953 anayedai kuwa Mkurugenzi wa Kampuni hiyo hapo Mtwara. Naombeni wanajukwaa mnifahamishe.
Ngalangala JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 329 Reaction score 131 Jul 13, 2014 #2 Unataka kujua nini?
mgonjwa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 514 Reaction score 223 Jul 13, 2014 #3 Unaibiwa muda si mrefu kijana