Da.karume aisee inahitaji uwe na roho ngumu kununua bidhaa paleHabari za asubuhi ndugu wanajamii naomba kuuliza kwa wataalamu wa bei elekezi pale mitaa ya karume viatu vizuri kwa ajili ya mpira wa miguu bei yake ya kuuza ni shingapi
Msaada wa kufahamishwa hili kwa wataalamu