kwa wenye ndoa na wazoefu tu

kwa wenye ndoa na wazoefu tu

LEVEL

Senior Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
195
Reaction score
51
kwa wale walio oa au wako kwenye ndoa na unaishi na mkeo una bed moja tu ndan kwako bt ikatokea umesafr umwemwacha mkeo nyumbani ukiwa safarini mamako mzazi anakutaarifu kua amepata safari yakuja mkoa unapoishi ww bt anaomba afikie kwako na ww una bed moja tu unalotumia na mkeo. 1. Je itafaa mkeo kutumia bed hilo kulala na mamako mzazi 2. Utamtafutia mama sehemu ya kulaa kipi ni sahihi waungwana
 
kwa wale walio oa au wako kwenye ndoa na unaishi na mkeo una bed moja tu ndan kwako bt ikatokea umexafr umwemwacha mkeo nyumbani ukiwa xafarini mamako mzazi anakutaarifu kua amepata safari yakuja mkoa unapoishi ww bt anaomba afikie kwako na ww una bed moja tu unalotumia na mkeo. 1. Je itafaa mkeo kutumia bed hilo kulala na mamako mzazi 2. Utamtafutia mama xehemu ya kulaa kipi ni sahihi waungwana

nimekuelewa kwa shida sana kijana...

kitanda unachotumia na mkeo si vyema na mama akitumie...

kiafrika sidhani kama huo utamaduni upo...
 
Mm naona poa tu. Hata kama kaja na babako halafu wanagegedana kitandan kwenu, shida iko wap? Cha muhimu usafi wa kabla na baada ya mgeni kutumia. Kitanda ni kama malapa ya chooni tu. Mbona yenyewe mnachangia? Mbona mnachangia tundu la choo? Acheni mila za kizamani. Kama mnafuata mila za kiafrika basi awe na nyumba yake peke yake. Lkn tz hii wangap wana uwezo huo?
 
kwa wale walio oa au wako kwenye ndoa na unaishi na mkeo una bed moja tu ndan kwako bt ikatokea umexafr umwemwacha mkeo nyumbani ukiwa xafarini mamako mzazi anakutaarifu kua amepata safari yakuja mkoa unapoishi ww bt anaomba afikie kwako na ww una bed moja tu unalotumia na mkeo. 1. Je itafaa mkeo kutumia bed hilo kulala na mamako mzazi 2. Utamtafutia mama xehemu ya kulaa kipi ni sahihi waungwana

Mi hata xijui opxion ipi ni xahihi. axante xana.
 
kwani ulimdanganya mama yako una nyumba mpaka aombe kufikia kwako? Kama hakuna ndugu wengine hapo jirani na atokuwepo kwa siku mbili tatu mkodishie chumba cha wageni.Sababu huja jieleza kama una sebure pia.
 
Sio busara mama yako alalie kitanda chenu ,mtafutie sehemu nyingine ya kulala
 
Nunua godoro, mama atandikiwe chini alale. Afu jiongeze upate chumba na sebule bwana.
 
Mi hata xijui opxion ipi ni xahihi. axante xana.

Me sipendi haya matumizi ya hii herufi "X" inanifanya niumize kichwa na nafikiri mtoa post hujajua matumizi yake.

Huu uandishi hutumika kupunguza idadi ya herufi katika kila neno, mfano neno sujui ikawa cjui. Lakini unapoandika xijui,xana opxion unakuwa umekwepa nini kama si kuongeza utata wa kuelewa.
 
kwa mama mwenye busara hata hawezi kukwambia anakuja kufikia kwako wakati anajua una chumba kimoja.
 
Jamani imefikia kipindi wageni waangalie na hali ya maisha ya mtu kabla ya kwenda tembelea au salimia kama vipi unajipanga kabisa ukifika tafuta hotel uwe walala hadi salamu zikiisha au piga simu tu yatosha
 
mwambie mama una chumba kimoja
kisha mtaftie sehemu ya kulala
si vyema mama alale kitanda unacholalia wewe na mkeo
 
c vyema hata kidogo kwa mama kulalia hilo godoro , inapobidi hata chumbani asikanyage
 
Kama hali inaruhusu nunua godoro na mama ako alale na mkeo au peke yake...ukumbini au chumba chengine...kama una chumba kimoja tu...Geuza godoro juu chini na mama yako na mkeo walaie upande wa pili...sio tatizo kwani uliwahi kulala na mama yako na baba yako mkiwa kitanda ki1(na pengine baadhi ya siku mambo yalimalizwa hapo hapo bila wewe kujua)....Hata uislam unaturuhusu Kula Kiti moto kama ndo chakula pekee kilichopo...na njaa ikawa inakaribia kukutoa roho....Kikawaida unatakiwa kuiendea hatari ndogo mbele ya kubwa.....kama unahisi mama yako atapata tabu sana kupata sehemu ya kukaa..basi ni bora uvunje mila na desturi kuliko Bi Mkubwa wako kuSuffer...."Ni nani kama Mama Jamani?"
 
Back
Top Bottom