Kwa wenye huruma tu! Nahitaji ajira niweze kuishi

Mpauko

R.I.P
Jan 19, 2019
2,323
3,353
Habarini wakuu!

Mimi ni kijana wa miaka 24 ,Naishi Mtwara kwa sasa.Ni kiziwi nilipata hili tatizo nikiwa darasa la pili mwaka 2003.

Nasikia na kuzungumza na mtu vizuri tukiwa jirani tukitazamana(facial language na lips movement)

Nimehitimu mafunzo ya ualimu mwaka 2018 (GPA 3.7) pia nina cheti cha usimamizi wa biashara.

Tofauti na matarajio yangu jamii inaonekana kuwapuuza sana watu wenye ulemavu kiasi kwamba waajiri wengi huwa hawapo tayari kutuajiri hata kwa volunteer.

Binafsi nimezunguka huku na huko ila majibu ya waajiri wengi usipoangalia unaweza jifungia ndani ukaachana na kutafuta kazi au vibarua ni majibu makavu mno!

Kama kuna yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia mtaji au ajira yoyote naomba anisaidia na mungu atambariki.!
 
Niliona juzi juzi Dr.Edwin Liyombo bingwa wa ENT Muhimbili akiongea kwamba wana toa vifaa vya kusikilizia(hearing aid) bure ukikutwa na matatizo hayo. Ingawa tatizo lako ni ajira, lakini ungeenda MNH ukawaona wanaweza kukusaidia, na siku hizi hearing aid sio kama za zamani kwamba ukiivaa kila mtu anaiona, za siku hizi inaingizwa ndani na ni ndogo hakuna hata atakayejua kwamba unavaa hiyo kitu. Kisha uendelee na utafutaji wa ajira. Naweza kuwa sina msaada kwako lakini nadhani hili linaweza kukupunguzia shida katika mawasiliano na ikawa rahisi wewe kuweza kupata ajira na utendaji wako ukiwa kazini.
 
Niliona juzi juzi Dr.Edwin Kayombo bingwa wa ENT Muhimbili akiongea kwamba wana toa vifaa vya kusikilizia(hearing aid) bure ukikutwa na matatizo hayo. Ingawa tatizo lako ni ajira, lakini ungeenda MNH ukawaona wanaweza kukusaidia, na siku hizi hearing aid sio kama za zamani kwamba ukiivaa kila mtu anaiona, za siku hizi inaingizwa ndani na ni ndogo hakuna hata atakayejua kwamba unavaa hiyo kitu. Kisha uendelee na utafutaji wa ajira. Naweza kuwa sina msaada kwako lakini nadhani hili linaweza kukupunguzia shida katika mawasiliano na ikawa rahisi wewe kuweza kupata ajira na utendaji wako ukiwa kazini.

Asante mkuu! Mimi hearing aid ninazo ila hazinisaidii kwa sababu ili nikuelewe inqbidi tu tuwe uso kwq uso ukiwa nyuma yangu licha ya kuwa nakusikia siwez kuelewa chochote.

Hearing aid zinakuza tu sauti nami tatzo langu sio sauti ni kuyaelewa matamshi tu hata uongee kwa nguvu kiasi cha kuniumiza masikio sitokuelewa!! We sogea jiran tu tutazamane tunqzungumza freesh na tunaelewana kias hata waliokaa pemben hawawez sikia mazungumzo yetu.

Hata usiku huwasha tu kioo cha simu ili nikuone uso kosha ndo tuzungumze bila shida!

Nilizunguka sana hosptal za hapa tz ukiwambia mi naskia ila sielew kinachozungumzwa wanaishia kukupa hearing aid znanpogia makelele tu na kuumiza masikio!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok Mkuu, nadhani ninakuelewa,. Hapa kazini kwangu nina mtu alipata shida ya masikio ukubwani. Anaweza kuongea, naye hivyo hivyo ukitaka muongee lazima muangaliane usoni wakati mnazungumza.

Pia anasimu yake maalumu,ni simu ya kazini na nyumbani anayo ya hivyo. Anaweza kupiga yeye kwenye simu yoyote, inavyofanya kazi ni kwamba ukiongea inaandika maneno kwenye screen na yeye anakuwa anasoma unachoongea kwenye screen na kukujibu kwa kuongea.

Audiologist wanatofautiana pia hivyo sikatai ukisema hapa Nyumbani hukupata msaada zaidi ya kukupa hearing aid zenye sauti kubwa labda pia hawakuelewa tatizo lako walidhani husikii tu, kumbe unahitaji kusoma lips pia ili uelewe. Basi sina msaada zaidi, nilidhani ungesaidika kwa namna nilivyoshauri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom