buimchizi
Member
- Jun 26, 2017
- 68
- 205
yani mimi nilijua peke yangu tu yanayonikuta na huyu bebe mama yani sometime najuta kuzaa na mwanamke huyu yani nimekua mtu wa mastress tu siendi mbele nipo pale pale kila siku inakela sana na nyie wanawake mkiwa mtaka kuzaa na mtu muakikishe mpo tayri kulea familia na majukumu yote kama mama wengine sio mnaruka ruka mnatufanya mpaka tukawa na mioyo migumu juu yenu
Buimchizi mpka sasa mm niko njia panda ilo jambo linanipa shida sana ,alafu mbaya ukimuuliza mzazi mwenza anakwambia nakupenda sana mme wangu, af ataki kurudi home muendelee na maisha yenu af wakati huo ana kwake na anamahusiano na mtu mwingine, yani napata tabu nimeshampa muda nimemwambia nataka nifanye maamuzi magumu so fikiria unipe jibu