Kwa watumishi wanaotaka mikopo

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,078
1,870
Nimepata kazi ya kutafuta watumishi 10,ambao wanaitaji mikopo,riba ya Benk hiyo ni 1.6% tu kwa mwezi.Hakuna gharama za kujiunga ama makato yoyote pindi ukikamilisha vigezo.Njoo Pm,mkifika 10 ntawajuza wote,mkopo wenu utaingia ndani ya masaa 24.Karibuni sana
 
mmmmmmh ngojea waje
 
1.6%pm x 12 months = 19.2% pa (Simple Interest)

1.6%pm x 12 months = 281.47% pa (Compound Interest). Msijesema sikuwaambia pale mkianza kufilisiwa
 
watumishi wa serikali au na wa private pia?
 
Elezea namna mkopo utakavyokuwa, mfano hiyo 1.6% ni redusable au constant, Chukua 1,000,000 mkopo kwa mwaka atairejeshaje? Fanya simple mathematics ili wahusika waelewe, sasa haya ya PM nadhani husaidii, maana usingetaka kushirikisha watu wengi hao 10 tu ilikuwa rahisi kuwapata, hasa jamaa zako Kazini, mtaani, na whatsap groups ulizonazo. Ila unechagua njia hii sasa iweke wazi, serious watu wakutafute.
 
Umenena Vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…