Kwa watumiaji wa whatsapp messenger

Kwa watumiaji wa whatsapp messenger

GoPPiii.

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
1,792
Reaction score
3,079
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale na ni matumaini yangu mko salama na vizuri katika kila idara.

Kwa wale tunaotumia mtandao wa WhatsApp katika mishe zetu za hapa na pale haswa kuwasiliana na ndugu zetu kuna hiki kipengele huitwa STATUS. Katika kutafuta maana ya hili neno nikagundua ni hali ya wakati fulani,mfano ungependa kutujuza unafanya nn wakati huo,upo wap,unafikiria nini,una mood gani,au pia upo darasani,ofisini,kanisani ungeandika npo darasani,npo ofisini au nipo kanisani ili usisumbuliwe kwa mda huo mpk pale utakapo badili status.

Sasa nimechunguza nimeona wengi hupost videos kadha wa kadha ambazo zilipaswa kuwa Instagram au facebook ambazo hazihusiani na hali uliyonayo mda huo.

Je ni sahihi au mimi sijui matumizi ya kipengele cha STATUS kwenye mtandao wetu huu pendwa?
beb8798e631fd774eca6163301785ef7.jpg


Philips X2560
 
Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Sura ya kwanza,ibara ya 15,ibara ndogo ya kwanza inasema.
"Kila mtu anayo haki ya kuwa huru na kuishi kama mtu binafsi"
Shukrani mkuu kwa kunijuza hlo.

Philips X2560
 
Duniani sio kila taratibu watu wote wanazifuata ndiyo maana Kuna wahalifu.
 
Ugumu wa maisha huwa tunautengeneza sisi wenyewe kwa kujipa stress kwa ajili ya maisha ya wengine!

Chukulia simple tu ndugu yangu vitu vingine havina maana kuvichunguza.
 
Back
Top Bottom