Namaanisha kwamba ZANTEL internet yao ni ya kasi ukilinganisha na mitandao mingine.
Namaanisha kwamba ZANTEL internet yao ni ya kasi ukilinganisha na mitandao mingine.
Namaanisha kwamba ZANTEL internet yao ni ya kasi ukilinganisha na mitandao mingine.
we mgeni humu?? Ndio au hapana!?ukijibu then tutaendeleaNatumia simu yangu ya Smart phone kwenye masuala yangu ya internet zaidi kuliko computer,
ila tatizo limekuwa ni kasi ndogo ya internet na hata mala nyingine mtandao kukatikakatika.
Lakini tokea nimeamia Zantel kasi ya mtandao kidogo inaridhisha, hata kwa vifurushi vidogo.