Kwa watumiaji wa android | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa watumiaji wa android

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mndengereko, Oct 27, 2012.

 1. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  mambo vipi wadau embu leo naomba tufahamishane kuhusiana na application nzuri ambazo zinapatikana ktk Google play store ambazo wewe mwenyewe umekuwa excited nazo na unaikubali mimi application niliyoizimikia ni flashlight nw natembea na torch wkati mwanzo sikuwa kwenye simu yangu nayo,then nyingine ni avg anti virus,ina kazi nyingi,anti-theft application,ina lock aplication na pia ina kill application to save battery and memory
  tiririka nyingine unazozijua......
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
 3. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  oooh poa i neva knw!!!! thanks
   
Loading...