Kwa watoto watukutu dawa yao ni hii

Kwa watoto watukutu dawa yao ni hii

VAN HEIST

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
1,434
Reaction score
617
1417924992643.jpg
 
No no no tupinge ujinga huuu please, hivi kwa akili ya kawaida hapo mjinga ni yupi??
 
Yani ndio namkuta mtu ananifanyia huo ujinga kwa mwanangu yani hata acha kuona rangi zote za duniani
 
Na hofu ha wewe mleta stori hii lazima bange imekuathiri kama umefikia kuamini kitendo hicho ni halali kufanyiwa binadamu,tena mtoto.

Unajua hata kumning'iniza kuku kichwa chini ni kosa sembuze binadamu?
 
Ila kuna vitoto vitundu, unaweza kukuta kalikuwa kanalilia kapande hapo juu na ukikateremsha tu ni fujo na vilio...
 
Hata kama wii yani kitendo cha kumning'iniza mwanangu kama mfuko ndio sitaki kabisa

Sasa kamtu kama hako ukisema ukavue ndo ushone kile kitendo cha kuvua tu na kuinama kwenye cherehaka kameshafika mtaa wa nne...unashona hivyohivyo kakiwa kamevaa
 
Sasa kamtu kama hako ukisema ukavue ndo ushone kile kitendo cha kuvua tu na kuinama kwenye cherehaka kameshafika mtaa wa nne...unashona hivyohivyo kakiwa kamevaa

hahaha afu wewe
 
Na hofu ha wewe mleta stori hii lazima bange imekuathiri kama umefikia kuamini kitendo hicho ni halali kufanyiwa binadamu,tena mtoto.

Unajua hata kumning'iniza kuku kichwa chini ni kosa sembuze binadamu?

hapana usiwe na hofu sijaathiriwa na bange na wala situmii hiyo bidhaa,,, nikuulize,,, hapo wewe umeona huyo mtoto amefanywa nini?? thibitisha unachokiona

neno langu sio sheria!!
 
hadi moyo wangu umeumia aisee huu ni ukatili kwa watoto pia niukiukaji wa haki za binadamu
 
Back
Top Bottom