Kwa wateja wa highlife Zantel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wateja wa highlife Zantel

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ndumbayeye, Apr 9, 2012.

 1. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,784
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Kwa wateja wa highlife, kwanini siku hizi sifanikiwi kuunganishwa na huduma hiyo ya internet, kila nnapojiunga naambiwa line yangu ya simu haijatumia shilingi 5,000. Customer care wananiambia system zao ziko slow kunitambua (ndio basi?). Najiuliza sijui kwa wateja wengine hali ikoje ni wiki ya tatu sasa?
   
 2. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  ndio unagundua leo ? huo uhuni ulituhamisha zantel tangu mwaka jana. mimi nilitupa kabisa modem yao.
  Airtel nao walitu bipu hivi karibuni. tukijiandaa kuwapigia wakapata akili ghafla.
   
 3. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,784
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  wadada wa customer wa care utawasikia system haija kusoma unafahamu...unafaham, tumeshafamiana eee!
   
 4. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,784
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  niko ttcl leo 2gb @ 15,000/-
   
Loading...