kwa wateja wa CRDB

kwa wateja wa CRDB

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,624
Jamani salama wapendwa,je hawa CRDB wanafunguaga ofisi zao siku za Jumapili
 
Jamani salama wapendwa,je hawa CRDB wanafunguaga ofisi zao siku za Jumapili

Yea kw adar, mlimani city wanafungua hadi jumapili na holiday na pia kuna tawi lingine lipo pale mbele ya cocobeach kama unaelekea police officers' mess, mkono wa kushoto kama unatokea coco beach before hujafika hata officers' mess, napo wanafungua hadi Jumapili.
kwa mikoani sijui.
 
We ni kilaza....unataka tukutajie branch zote tz zinazofunguliwa jpili.. Kwa ARUSHA ni meru branch tuu ndio inayofunguliwa jumapili.
 
Jamani salama wapendwa,je hawa CRDB wanafunguaga ofisi zao siku za Jumapili
Uko mkoa gani?
Kama dar, waweza pia kwenda Vijana Branch, mtaa wa Lumumba pale pembeni ya ofisi za Chama Twawala!
 
Mlimani City Mkuu. Fanya haraka Kiongozi jumapili huwa kuna watu wengi sana. Nikutakieni jumapili njema.
 
Back
Top Bottom