sisi tutafaudu tu totoz za Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi, maana wabongo nawaheshimu kwa UKWARE, tehe! kwenye hayo ya juu bado saaaaana mkuuu!.si unaona Mkwere anavyjitahidi ku spread teritorry, mara kaoa huku mara kuleeeee sasa hivi na yeye atabamba kitu cha Kenya kisingizio itakuwa EAC.
Ni kweli, wakenya wako step ahead, mfano Superman umejaribu kuongelea machinga hapo juu, hapa kwetu machinga kwa kweli ni kero, wanalazimisha watu kununua bidhaa hata kama ulikuwa hauhitaji, mfano ukiulizia bei na ukashindwa kununua itakuwa kesi, kwamba ulikuwa unamtania, Wamachinga wa Kenya wapo straight, hafuati na kusumbua mtu, kama una shida utakuja mwenyewe, Suala la Jinsia katika ujasiliamali kwa hilo nalo Kenya wametupiga fimbo, hapa kwetu binti akijihusisha na Umachinga ama Ukondakta utasikia wanamwita malaya ama mtu aliyeshindikana, tena wanawake wenzao hao hao ndio wa kwanza kumcheka, penye ukweli uongo hujitenga! tunatakiwa tujifunze mazuri kutoka kwa majirani zetu.
Wenzetu wako mbele dunia nzima ukiondoa ukabila ambao ni complex, mengine wanatuzidi sana!
Superman, watani wametuzidi kila kitu; na usiku ukiingia usijicheleweshe mitaani kwani wazee wa kazi (majambazi) ndio wanatawala. Ukiwa na bahati mbaya kukutana nao, ukiita msaada hakuna atakayetoka.
Genekai, ni kweli kabisa kamanda.
Kinachotia uchungu, sisi Watanzania ama katika personal level au National Level hatuko serious na Maendeleo kwa ujumla. wakati wenzetu maendeleo ni kama wako vitani.
Nini kifanyike hasa kubadili hali hii wadau?[/QUOTE]
MKUU NAOMBA UMUULIZE "MKWERE"...MAANA ALISHAWAHI KUULIZWA SWALI KAMA HILO PALE MLIMANI CITY WAKATI WA ECONOMIC FORUM MOJA...JIBU ALILOTOA HATA MIE SIHITAJI KUIONA TANZANIA INAFIKA ROBO YA KENYA...KAMA HATA BABAKO HAJUI KWANINI FAMILIA YAKE MASIKINI... NI AIBU SANA KUANZA KUFIKIRIA KUIFIKIA FAMILIA TAJIRI...tafakari..chukua hatua...kwa msaada wa watu wa merikaniiii
kenya hamna uswahili ,dar longolongo nyingi na uswahili wa kutosha . nairobi inafanana na arusha karibu vitu vingi sababu arusha hamna waswahilina. imekula kwetu . tuamishe makao makuu yasiwe karibu na costal areas labda itasaidia

Duh, ukweli unauma lakini ndo hivyo tena.
Sasa, ni nini maoni yako Mkuu?
MKUU NAOMBA UMUULIZE "MKWERE"...MAANA ALISHAWAHI KUULIZWA SWALI KAMA HILO PALE MLIMANI CITY WAKATI WA ECONOMIC FORUM MOJA...JIBU ALILOTOA HATA MIE SIHITAJI KUIONA TANZANIA INAFIKA ROBO YA KENYA...KAMA HATA BABAKO HAJUI KWANINI FAMILIA YAKE MASIKINI... NI AIBU SANA KUANZA KUFIKIRIA KUIFIKIA FAMILIA TAJIRI...tafakari..chukua hatua...kwa msaada wa watu wa merikaniiii
kenya hamna uswahili ,dar longolongo nyingi na uswahili wa kutosha . nairobi inafanana na arusha karibu vitu vingi sababu arusha hamna waswahilina. imekula kwetu . tuamishe makao makuu yasiwe karibu na costal areas labda itasaidia
so na nji isiongozwe na mtu wa haya maeneo...maana ndio chanzo cha longolongo..ahahahahahaaaaa... mkwereeeeeeeeee kazi unayo
Wasiwasi wangu EAC ikiingia wabongo wengi tutakosa ajira kwa maana jamaa kama anafanya kazi msaa nane basi yote ni productive sio sisi unafanya masaa nane nusu upo kwenye JF. Kuhusu swala la totoz bila ya kupinga Rwanda kuna totoz kuliko sehemu yoyote EAC ila hata hapo kenya pengine sio nairobi kuna totoz ni balaa nimepata kutembelea sehemu moja ya milima ya tao la africa maeneo ya voi kuna totoz balaa bila kusahau watoto wa kilenjin usipime.....
ATCL imebaki story sasa hivi uganda inakuja juu kwenye secta ya usafiri wa anga. Kenya ni moja ya nchi ambayo wananchi hawakunyimwa elimu ndio maana unaona hata chokoraa anaongea kizungu!