Yote hutokea pamoja,Kuna hii kitu wanasema dunia ina mizunguko miwili
1.rotation[rotates on its own axis]
2.revolution[revolves around the earth via eliptical orbit]
Sasa swali ni je mizunguko yote hiyo inatokea kwa wakati mmoja au kila mzunguko inatokea kwa muda wake
..submitted...
Yote hutokea pamoja,
Ila tu rotation iko speed sana kuliko revolution.
HeeeTheory ya kipuuzi Sana hii. It is the sun which goes around the word.
huko kwenu bangi kilo moja shingapi?Theory ya kipuuzi Sana hii. It is the sun which goes around the word.
Duuuuh mkuu hata kama hapa ndugu yako ni NGUMBARU lakini katika hili nabishaTheory ya kipuuzi Sana hii. It is the sun which goes around the word.
Huku bangi haiuzwi unachuma tu na kuivuta hadharanihuko kwenu bangi kilo moja shingapi?
Mkuu unabisha una hoja? Na ukiambiwa dunia sio duara si ndo utazimia kabisaDuuuuh mkuu hata kama hapa ndugu yako ni NGUMBARU lakini katika hili nabisha
Theory ya kipuuzi Sana hii. It is the sun which goes around the word.
Wamekakaririshwa na wanamageuzi wa duniani2po pamoja
Dunia isipokuwa tufe meli, ndege, na vyombo vingine vingekuwa havifiki kule wanakoenda. Hata sisi tu wavuvi wadogowadogo tunakubali nadhalia ya kuwa dunia ni tufe na iko tenge kwa nyuzi 33 katika mhimili wake. Hilo tunalithibitisha utakapotumia jua kama dira yako. Yaani kama huna compassWamekakaririshwa na wanamageuzi wa duniani
Kwahiyo huwa mnafuata mwelekeo wa just au dunia? Huko baharini Kama hamna compassDunia isipokuwa tufe meli, ndege, na vyombo vingine vingekuwa havifiki kule wanakoenda. Hata sisi tu wavuvi wadogowadogo tunakubali nadhalia ya kuwa dunia ni tufe na iko tenge kwa nyuzi 33 katika mhimili wake. Hilo tunalithibitisha utakapotumia jua kama dira yako. Yaani kama huna compass
Unalitumia kupata mwelekeo. Ukumbuke nyuzi hata 15unapozikosea mara maili mia hautakiona hata kisiwa unachoenda labda kiwe na mwinuko. Sisi hatulifuati jua tunalitumia kama dira. na unatakiwa ujue ni mwezi gani na dunia imekaa tenge kiasi gani. Hivyo jua uliweke upande gani mwa chomboKwahiyo huwa mnafuata mwelekeo wa just au dunia? Huko baharini Kama hamna compass