Lipuma mnyitanana
Member
- Mar 30, 2017
- 34
- 27
jana katika gazeti la serikali la Habari leo liliandika walimu wa sekondari 7460 washushwa na kupelekwa shule za msingi kwa kigezo cha kuvuka ikama ya walimu wanaohitajika my take ni utaratibu upi utatumika kuwapata hao watakaotakiwa kwenda huko shule za msingi ikiwa wote wanaozidi katika kila maeneo ni walimu wa sanaa
je kunaweza kuwa na athari kiasi gani saikolojikali kwa wale watakao pelekwa huko bila ridha yao wenyewe?
tunafahamu yakwamba sekondari kunafursa japo kidogo kwa mwaka wakati upande wapili hakuna hata kama zipo nikidogo sana katika hili haiwezi kuwa ndo chanzo cha kushusha morali ya utendaji kazi?
Ipo hatari ya kutengeneza mazingira ya rushwa ,kulipiza visasi,kukomoana kwa watendaji watakao simamia zoezi hili kama watakosa uadilifu .karibu wadau kwa mjadala