Kwa wataalam wa simu


mgeni3

mgeni3

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2010
Messages
232
Points
195
mgeni3

mgeni3

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2010
232 195
habari zenu wadau, natafuta box la kuflashia simu sasa sijajua lipi litanifaa na linauzwaje.... Naomba msaada wenu katika hili
 
W

wanatamani

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Messages
419
Points
225
W

wanatamani

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2011
419 225
Duh, ni somo refu. Box sio ishu. Poa unahitajika uwe na Box za kuanzia ambazo ni HWK TORNADO GPD dragon KWA AJILI YA SIMU ZA MCHINA BOx zipo zaidi ya 40. kwa sio kila simu inaflashika kwa box flani. simu inaweza ikagoma kwenye box hili , jengine likakubali. So kwanza kabisa unahijai upate mafunzo ya msingi ujue aina za simu.sio majina ya simu kama nokia, samsungi hapana. simu zimegawika katika clases kama vile DCT2, DCT4, BB5 DCT4 PLUS N.K Baada yapo unahitajika uwe na Files za kuflashia simu hizi zimegawika sehemu 3. MCU PPM, CNT mcu inasimama kama ndio os ya simu ppm inasimama ndio language unazo ziona kwenye simu na CNT INASIMAMA kama picha, game, theme na urembo urembo unaouona kwenye simu. kaka sio ngumu sana unatakiwa kukutana na mtu anaejua akupe utaalamu huo Kuhusu bei Hwk box inasimama kama laki 4. GPG dragon KAAMA LAKI 5. FOR MORE INFO wanatamani@gmail.com 0919 504567
 

Forum statistics

Threads 1,283,904
Members 493,869
Posts 30,805,615
Top