Kwa wataalam wa magari

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
2,697
1,962
Wakuu,
Naomba kujuzwa na wataalam wa magari kati ya gari zenye injini ya I4 cylinder na V6 cylinder. Je ni kweli gari zenye injini ya v6 zinatumia mafuta mengi kuliko I4? Mfano nina gari lenye injini ya ukubwa wa 2.0L moja ni V6 na lingine I4, je zinaweza kuwa na tofauti gani ya kilometa kwa lita moja?
 
Ok mkuu samahani sikuona vizuri I..i4 ni cylinder 4 na v6 ni cylinder 6...obvious v6 itakula mafuta zaidi...its written i4 instead of v4 due to arrangement of the cylinders
 
ukubwa wa engine, 4, 6, 8 cylinders unachangia fuel consumption pia ila ukiangalia km/litre mara nyingine unaweza pata gari ya 4 cylinder inatumia mafuta same na 6 cylinder kutokana na condition ya engine..mfano Toyota Landcruiser mpya ya 4200cc inaweza kwenda mpaka 10km/litre na ukapata Toyota Saloon ya 2000cc ikaenda same mileage, kwahiyo vitu vya kuangalia ni condition ya engine, uendeshaji wa gari..mfano unatumia v6 or v8 kwenye traffic jam za mijini consumption itakuwa kubwa sana lakini ukienda long trip kusipokuwa na traffic jam consumption itakuwa kubwa au kuendesha gari kwenye mipando unakuta mtu anaongeza acceleration mpaka revolution ya engine inafika 4000rpm ili hali ungepanda taratibu au kwenye mteremko unatumia gear ndo (kama gari ya manual) wakati ungeweza kutumia gear no.3 na kuendelea.
 
Back
Top Bottom