Hawakosekani, ngoja waje sasa hivi. Hii ndo JF with great thinkers. Wanashindwa kutengeneza lakini kuharibu usipime.
Nina HTC kaiser/ HTC AT&T tilt ya kimarekani, haisapot simcard za bongo, naomba maujuz kwa aliye na uelewa wa ku unlock, ilikua inatumika kwa network za kimarekani ndo mana ipo under AT&T( American Telephone & Telegraph) imekuja bongo haikamat network za huku
Hahahaaa!Hawakosekani, ngoja waje sasa hivi. Hii ndo JF with great thinkers. Wanashindwa kutengeneza lakini kuharibu usipime.
Yaani unataka upate huduma ya sh 20,000 kwa Mb 2!!!?Hauko serious na kazi za watuHawakosekani, ngoja waje sasa hivi. Hii ndo JF with great thinkers. Wanashindwa kutengeneza lakini kuharibu usipime.
mkuu, umewaza mbali!! anataka apate taaluma ya milioni zaidi ya nane kwa mb2. hii ni aina ya wizi.Yaani unataka upate huduma ya sh 20,000 kwa Mb 2!!!?Hauko serious na kazi za watu
acheni ubinafsi. vyote ulivyojulishwa wewe ulilipia???mkuu, umewaza mbali!! anataka apate taaluma ya milioni zaidi ya nane kwa mb2. hii ni aina ya wizi.
mh!!!acheni ubinafsi. vyote ulivyojulishwa wewe ulilipia???
Je nini unashauri kifanyike ili simu yake isome mtandao hapa TZ?Ni isuue simple tatizo hujui kuisoma sim yako jambo hilo si la kiufundi zaid ni issue ya windows iliyopo ktk sim yako