goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,048
- 1,343
Bila shaka hiyo ni windows7!?..laptop yangu ilieleta meseji isiyofutika ikisema kuwa "window is not ginuine" wakati nimetumia window hii zaidi ya miezi 6 sasa. na jana imegoma kabisa kufunguka, nikiwasha inawaka then inaleta maneno "starting window" na bila hata kufunguka
Msaada tafadhar kwa wenye uzoefu na haya mambo
Natumia laptop aina ya lenovo
Ingia google tafuta windows activator ya version yako then ifungue install. After hhapo irun pc ita restart then u will be fine to go on au nitumie email nikuatachie hyo filelaptop yangu ilieleta meseji isiyofutika ikisema kuwa "window is not ginuine" wakati nimetumia window hii zaidi ya miezi 6 sasa. na jana imegoma kabisa kufunguka, nikiwasha inawaka then inaleta maneno "starting window" na bila hata kufunguka
Msaada tafadhar kwa wenye uzoefu na haya mambo
Natumia laptop aina ya lenovo
Bila shaka hiyo ni windows7!?..
Ingia google tafuta windows activator ya version yako then ifungue install. After hhapo irun pc ita restart then u will be fine to go on au nitumie email nikuatachie hyo file
Poa mkuu nitakutuia baadae kidgo sasa hvi niko mbal na homeemail yangu ni, minenemasai0@gmail.com
ntashukuru kwa msaada wako mkuu
Poa mkuu nitakutuia baadae kidgo sasa hvi niko mbal na home
version ngapi unatumiaMsaada wadau nina samsung note edge lakini nikiikonect usb kwenye laptop sim haikonect nini tatizo msaada
download hii then run kama administrator
namaanisha kuopen press right click then extract ikimaliza iopen hiyo then click removemkuu hapo kwenye kuirun sasa ndo utata, nafanyafanyaje?
zima simu then hold volume up + power button itangia recovery then achia hizo button kisha tumia volume down kushuka chini then tumia power button kuselect kisha enable cp loggingNa tumia 5.1
namaanisha kuopen press right click then extract ikimaliza iopen hiyo then click remove
kivip? jaribu hivi bonyeza ctrl+alt+del kwa pamojatatizo pc inawaka lakini haifunguki inaisha tu kuload bila majibu
haifuti kituSawa mkuu je sim haitafuta file zingine
.Ingia google tafuta windows activator ya version yako then ifungue install. After hhapo irun pc ita restart then u will be fine to go on au nitumieemail nikuatachie hyo file