Mmmmh! wote mnao-support hayo majibu i don't think kama mnajua hesabu. huwezi kuandika x=y bila kusema sababu ya wewe ku-equate. kwa sisi wataalamu wa hesabu lazima useme let x=y, una assume ukimaanisha it is not true. kesho mtasema if men=women then man=woman, anyway huu ni uwanja wa jokes tuuu!Hahahahahahahahahaa
Ni swali ambalo unaweza ukamuuliza mwanafunzi, wapi pana kosa! Ninaamini wewe unajuwa kosa lipo wapi. Kama unafahamu kuwa zero divide by zero can be certain number, depending to the nature of the numerator and denominator....kama ni zero gawanya kwa zero basi tunaweza kutumia L'Hospitals rule.
Kwanini nasema zero gawia zero? Ulipofika x-y/x-y; hi ni sawa na 0/0 maana x=y. Sasa ikiwa hiyo Never conclude kwamba ni 1.
Ninaamini nimeeleweka wapi palipo kufanya u-conclude kuwa jibu ni moja. Jiulize kwanini namba yoyote ukiigawa yenyewe kwa yenyewe jibu ni moja lakini 0 gawa kwa 0 si moja?
Mmmmh! wote mnao-support hayo majibu i don't think kama mnajua hesabu. huwezi kuandika x=y bila kusema sababu ya wewe ku-equate. kwa sisi wataalamu wa hesabu lazima useme let x=y, una assume ukimaanisha it is not true. kesho mtasema if men=women then man=woman, anyway huu ni uwanja wa jokes tuuu!
si kweli, hesabu huwa haziendi hivyo kama utakavyo wewe bali zina principal zake
kama x=y,
ukija hapa, 2x=2y, kwa nini umetumia mbili, vipi ikiwa tatu yaani 3x=3y
kwa hiyo 3x-x=3y-y
maana yake ni kuwa 3x-3y=x-y
hii ni sawa na kusema 3(x-y)=(x-y)
kwamba 3(x-y)/(x-y)=(x-y)/(x-y)
na hiyo inathibisha kuwa 3=1
HAYA WEWE UNAEJUA HESABU KANUSHA BAC
Je unajua kuwa 2 = 1?
Wataalam wa hesabu tunasema kuwa kama x=y
basi 2x=2y
kwahiyo 2x-x = 2y-y si sawa?
Maana yake ni kuwa 2x-2y = x-y hapo hakuna ubishi naamini.
Hii ni sawa na kusema 2(x-y) = (x-y)
kwamba 2(x-y)/(x-y) = (x-y)/(x-y)
Na hiyo inathibitisha kuwa 2 = 1
Kwa wasiojua hesabu watabaki wanatoa mimacho, hawaelewi kitu halafu bahati mbaya watabisha!
Good Day Mathematicians!
Nafikiri Chrispin amesahau kuwa ukitaka ukweli wa "denominator equal to zero" basi unatakiwa utafute
lim (x-y)=?
(x-y)--->0
hapo mkuu utakuwa umekokotoa kiutu uzima.
Vinginevyo ..... hi hi hiiiiii! Maisha plus!
si kweli, hesabu huwa haziendi hivyo kama utakavyo wewe bali zina principal zake
kama x=y,
ukija hapa, 2x=2y, kwa nini umetumia mbili, vipi ikiwa tatu yaani 3x=3y
kwa hiyo 3x-x=3y-y
maana yake ni kuwa 3x-3y=x-y
hii ni sawa na kusema 3(x-y)=(x-y)
kwamba 3(x-y)/(x-y)=(x-y)/(x-y)
na hiyo inathibisha kuwa 3=1
HAYA WEWE UNAEJUA HESABU KANUSHA BAC
Je unajua kuwa 2 = 1?
Wataalam wa hesabu tunasema kuwa kama x=y
basi 2x=2y
kwahiyo 2x-x = 2y-y si sawa?
Maana yake ni kuwa 2x-2y = x-y hapo hakuna ubishi naamini.
Hii ni sawa na kusema 2(x-y) = (x-y)
kwamba 2(x-y)/(x-y) = (x-y)/(x-y)
Na hiyo inathibitisha kuwa 2 = 1
Kwa wasiojua hesabu watabaki wanatoa mimacho, hawaelewi kitu halafu bahati mbaya watabisha!
Good Day Mathematicians!
tongozo kwa kenda mbeleenzi hizo bana......
Enzi hizo makalkulesheni yalikuwa yanapigwa jf kama hatuna akili nzuri...
Hivi sasa ni kutafuta wachumba tu humu!
mimi mkali babu sio hzo fiksi zako ulikuja nazohebu kokotoa makalkulesheni hapo bana, acha longolongo mingi!
MSALIMIE ELIZA WA TEGETA NASIKIA UMEMPA HII:mimba: SASA HV KIMYAAAAHehehehe.......... haya kwaheri!
Enzi hizo bana......
Enzi hizo makalkulesheni yalikuwa yanapigwa JF kama hatuna akili nzuri...
Hivi sasa ni kutafuta wachumba tu humu!