Iran (Uajemi) ni Taifa la kale, sawa ilivyo kwa Syria, Iraq (Babylon), Galatia & Efeso (Uturuki), Rumi (Italy), Korinto (Greece), Misri na Kush (Ethiopia)
Iran, baada ya kuingiliwa na misimamo mikali ya imani ngeni ya kidini imeendelea kudhoofika yenyewe, na pia kudhoofisha mataifa mengine jirani
Lakini nyakati za sasa, kuna kila dalili ya Irani kurejea kwenye Iran ya kale, Iran yenye matumaini:
1. Iran, kwa Mashariki nzima ya Kati, ndiyo inayoongoza kwa wananchi wake kubadilika na kumpokea Kristo wa UPENDO na MSAMAHA.
Kama Iran ikawa na watu wengi wanaongozwa na upendo wa Mungu, upendo utarejea Mashariki ya kati. Na siku zote aliyekudhoofisha ndiye ana uwezo wa karibu wa kukuinua. Iran iliyadhoofisha mataifa jirani kupitia imani iliyojengeka kwenye chuki kwa wote wasiokubaliana na imani yao, wanaweza pia kuwainua waliowadhoofisha.
Wairan kuwa miongoni mwa mataifa yanayoongoza wananchi wake kumpokea Kristo wa Upendo ni ishara njema ya uponywaji:
What country is converting to Christianity the fastest?
While there's no single definitive "fastest," China, Iran, and several African nations (like Tanzania, DR Congo, Malawi) are consistently cited as experiencing rapid Christian growth, driven by underground house churches, conversions from Islam, and large-scale evangelism, with Asia and Africa being the fastest-growing continents overall, particularly for Pentecostal movements. China could become the world's largest Christian population by 2030, while Iran has an extremely high conversion rate from Islam.
HAKUNA AIJUAYE KWA 100% HRKIMA YA MUNGU:
Iran ambayo hapo nyuma imeonekana adui wa ukristo, kwa mapenzi ya Mungu, yaweza kubadilika na kuwa lango la Ukristo kwa Mashariki ya kati.
Iran, mwakajana, ilifungua kituo kikubwa cha treni, ikakiita Mtakatifu Maria:
Tehran opened a new metro station named Maryam-e Moghaddas (Holy Mary) in late 2025, featuring Christian art of the Virgin Mary and Jesus Christ, located on Line 6 near the St. Sarkis Armenian Cathedral, sparking discussions about religious coexistence and Iran's portrayal of its diverse faiths. The station blends Islamic and Christian art, acknowledging Mary's reverence in Islam (Maryam) and Christianity, symbolizing interfaith respect despite ongoing tensions over minority rights.
Mbele ya Mungu hakuna kinachoshindikana, siku zijazo twaweza kusikia Familia ya Ayatollah yampokea Kristo aliye mwanga wa Ulimwengu, njia ya kwenda kwa Mungu, mwenye UMungu Mmoja na Baba.
Note: Ukuu wa Mungu huonekana katika yale ambayo mwanadamu hufikiria siyo rahisi kutokea.
Refer: Askari waliopewa jukumu la kuwalinda mitume wasitoke gerezani asitoke, baada ya kutoka kwa miujiza, waligeuka kuwa wafuasi wa mwanzo wa Ukristo