Kwa Wasiojua Kufunga Tai

Kwa Wasiojua Kufunga Tai

Najua ni tatizo la wengi
View attachment 70030

Aisee kweli huu ni matihani lakini kwa wengi mimi nishafahamu miaka 20 iliyopita na tulikwenda semina moja ya kiofisi Arusha karibu kikosi chote cha jamaa nilikuwa pekeyangu ninaye jua kufunga tai...... ilibidi nile 500 kila siku kwa anayetaka kufungiwa
 
Ulitengeneza hela ya kutosha
 
tai ndo mpango nzima sio uhuni uhuni. Kuna vile vitai vifupi sizipendi
 
Aisee kweli huu ni matihani lakini kwa wengi mimi nishafahamu miaka 20 iliyopita na tulikwenda semina moja ya kiofisi Arusha karibu kikosi chote cha jamaa nilikuwa pekeyangu ninaye jua kufunga tai...... ilibidi nile 500 kila siku kwa anayetaka kufungiwa

thanx for useful post...
 
Hii ikompoa.ilinikuta wakati fulani tuko kwenye sherehe na mimi nilikuwa mwanakamati..sasa tai zililetwa na mimi nilikuwa sijui kuifunga.Ikabidi niishikilia mkononi kila aliyeniuliza mbona huvai tai ikabidi niwadanganye nahisi joto sana sana.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Shukrani mkuu,
Umetuondolea fedhea wengi wetu! Bado gidani za viatu.
 
Mi nilidhani ni dhambi ya peke yangu. Haya sasa unifundishage na kutoka nje ya ndoa mkuu
 
Hahaa.. Umenikumbusha kitu! Kipindi fulani tulilzamishwa kuanza kuvaa tai ofisi nnzima, mimi nikanunua na kuomba somo toka kwa muuzaji tai pale Kariakoo mpaka nikaelewa jinsi ya kufunga. Baba alikuwa hajui kufunga, tai yake ikifunguka ananunua nyingine.
 
tai ndo mpango nzima sio uhuni uhuni. Kuna vile vitai vifupi sizipendi

kuna dizaini mpya imetoka ulimi wa kenge,vyembaaa,vijana masharobaro ndio wwanatinga kwa sasa mujini,muulize muuza sura
 
Jaluo_Nyeupe umenifurahisha sana, naona mama nanihii akiifungua patachimbika sana.somo zuri binafsi nilikuwa sijui
 
Last edited by a moderator:
Bwana harusi mmoja hapa juzi ameokolewa na mtoto wa shule hizi za academy

sisi tumezowe migoroli twajifunika kama BIBI TARABUSHI....au MASAI..hayo mambo yakuletwa hao WAZUNGU kwao ni Baridi ili wasiugue NIMONYA NA KIFUA ndio huzuwia SHINGO na kufua sisi hatuna baridi kama ya kwao..na hata huko kwao wengi huvaa SCAFU badala ya Tai....kwasasa wazungu pia wengi hawajui kufung Tai pia
 
Back
Top Bottom