kwa wasakapesa jamani, someni hicho kitabu The 200 Best Home Businesses Easy To Start book.

mie nimekisoma kimenisaidia sana kwani nimebadilisha mazingira ya kitabu na kukifanyia kazi uswahilini. tafadhari kipitie nawe

Ahsante sana mkuu..kimeingia kwenye list yangu ya 'must read' books!
 
Thanks mkuu,mi pia nshadown load na kukihifadhi ntaperuzi ntakapokuwa nimetulia.
 
Mkuu shukrani...ijapokuwa gharama sio halisi katika mazingira yetu inatia moyo kuona mawazo uliyonayo yametajwa huku pia. Lakini pia katika mazingira yetu kutokan ana uchumi na aina ya mfumo wetu wa maisha bado kuna fursa nyingi mno ambazo hazipo kwenye hivi vitabu.
 
Mkuu shukran sana, hivi ndio vitu vya ku share umeonesha mfano mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…