Vangiporini
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 328
- 318
Wakuu, kwa wale ambao ni game addicted kama mimi hapa ningependa tujulishane zaidi juu ya hizi games. Binafsi nimetokea kupendelea sana simulation games kwani zina hali fulani ni kama reality hivi.
Hadi sasa simulation games ninazozifahamu ni EURO TRUCK SIMULATOR, AMERICAN TRUCK SIMULATOR, BUS SIMULATOR, TRAIN SIMULATOR. Kama kuna simulation games nzuri zaidi ya hapo ningependa tujuzane wadau.
ina ukubwa ganiAir fighter
daah hiyo nitaijaribuship simulator
kwahiyo inakua kama maisha halisi mkuukuna sims series, sim 2, sim3, sim 4 nk simulation ya maisha
ipo kwenye torrents utaipataMkuu nina euro truck simulator na american truck simulator nisaidie nipate bus simulator
nakushauri ujaribu simulation games aisee anza na euro truck tuu then utanambiaMm napenda game tena sana lakin kwa stimulation games hapana sjawahi cheza ila nina gem kibao katika pc yangu kama gta5 pes16 watchdogs need for speed the ru na nyengine nying tu
yaah hata miminapendelea hizo pia fanya utafute call of duty piana mimi niongezee napenda sana rpg games hizi kama series za assassin creed, god of war kama kuna mtu nae anazijua nyingine nzuri kama hizo anijuze pia
yap, shule, kuoa, kuzaa, kufa, etckwahiyo inakua kama maisha halisi mkuu
Nifanyie mpango gta5 mkuu nakuombaMm napenda game tena sana lakin kwa stimulation games hapana sjawahi cheza ila nina gem kibao katika pc yangu kama gta5 pes16 watchdogs need for speed the ru na nyengine nying tu
kama ni football manager hakuna game zaidi ya football managersaa hivi nacheza football chairman pro simulation
mkwawa hii unakuwa kama mmilkiwa club unawzo wa kumfukuza hata managerkama ni football manager hakuna game zaidi ya football manager