Kwa wapenzi wa nyimbo za kikongo

Mr simple M

JF-Expert Member
Sep 18, 2020
2,069
4,294
Hivi ile nyimbo ya kikongo ipo slow hivii
Huwa nasikia

"Mai Mai Mai Mai , mai Mai Mai , dangai Mai mai" wajuvi washaijua hivi kaimba nani na inaitwaje tafadhali.
 
Back
Top Bottom