kila mtu na interest zake, na usipelekwe na matukio ikiwekwa pic nyingine nzuri utasema tofauti.
za kwetu waafrica ni unyago,mdundiko,segere na jando hayo mengine ni kuiga tu.
Ridhika na kile kidogo ambacho mwenyezi MUNGU amekujalia kupata. Mambo kama haya huwezi kufanya kwa kutegemea hela za michango. Ili kufanya haya ni lazima uwe nazo ama wewe mwenyewe au baba yako au ndugu yako mwingine bila kujali kazipata kwa njia za halali au haramu. Vinginevyo Peacock hotel inatosha kabisa kwa honey moon kama hela yako ni ya kuunga unga