Kazi ni muhimu sana ..pia mme ni muhimiu ingawa.............
Kwa yale yote mme wangu mpenzi aliyonitendea kama ningeichezea kazi yangu ningejikuta nakosa vyote
mme sina lakini sasa nina kazi naitunza family yangu
Pole sana Egyps-women.Ndio dunia iilvyo na mapito ni sehemu ya maisha ila kila mtu anayo ya dizain yake.
kwa bahati nzuri au mbaya nimefanikiwa kuyanasa mazungumzo fulani kati ya watu wawili wapendanao
GF: kwanini uniambie, kata kwanza simu kuna mtu ananipigia
BF: alikuwa ni bosi wangu anataka taarifa za ofisi
GF: kwani hamkuonana ofisini
BF: nilikuwa field mchana kutwa wakati narudi ofisini hakuwepo
GF: nieleze kabisa kati ya bosi wako na mimi nani muhimu zaidi kwako?
BF: wote muhimu kwani yeye ananiweka mjini nawe wanipa furaha.
GF: naomba chagua mojawapo kati ya hayo (mimi au bosi wako)
Naomba mnisaidie juu ya hili wanaJF, kuna tatizo kumwambia mpenzi au rafiki yako ya kwamba naomba kata simu yako ili uongee na mtu mwingine kwa dharula, kisha baadae utampigia.
HALAFU MKUU SAMAHANI,UKIONA MAWASILIANO YAMEINGILIANA......KATA SIMU,UTAJASIKILIZA VISIVYOSIKILIZWA.kwa bahati nzuri au mbaya nimefanikiwa kuyanasa mazungumzo fulani kati ya watu wawili wapendanao
GF: kwanini uniambie, kata kwanza simu kuna mtu ananipigia
BF: alikuwa ni bosi wangu anataka taarifa za ofisi
GF: kwani hamkuonana ofisini
BF: nilikuwa field mchana kutwa wakati narudi ofisini hakuwepo
GF: nieleze kabisa kati ya bosi wako na mimi nani muhimu zaidi kwako?
BF: wote muhimu kwani yeye ananiweka mjini nawe wanipa furaha.
GF: naomba chagua mojawapo kati ya hayo (mimi au bosi wako)
Naomba mnisaidie juu ya hili wanaJF, kuna tatizo kumwambia mpenzi au rafiki yako ya kwamba naomba kata simu yako ili uongee na mtu mwingine kwa dharula, kisha baadae utampigia.
Yaani upo unaongea na simu na mkeo/mumeo halafu simu muhimu ya bosi wako inaingia, kwa taahadhari kabisa unamtaka mkeo/mumeo akate kwanza simu ili umalizane na bosi wako. baada ya hapo yeye anakuja na malumbano.HALAFU MKUU SAMAHANI,UKIONA MAWASILIANO YAMEINGILIANA......KATA SIMU,UTAJASIKILIZA VISIVYOSIKILIZWA.
SAMAHANI TENA KAMA NAKUKWAZA LABDA NIKUULIZE.......eeeeeeh au uli divert simu yako iingiliane nao mkuu?
1.Mke au mme kazini ana hadhi ya VIP/mtu muhimu....acha kazi zote msikilize....akikutembelea au akikupigia simu.
2.Girlfriend/boyfriend/Mchumba......asikubabaishe ....HAJULIKANI WALA HATAMBULIKI KAZINI.....kazi kwanza.
3.Ukiwa na mke/mme huna haja ya kumpigia simu akiwa kazini kwake hadi saa za kazi ziishe si mlillala wote usiku kucha au UNAVIZIA?
4.Kunapotokea dhalula, kifo,ajali,...hapa simu ni muhimu sio unajipigia misimu OVYO ukiulizwa ulikuwa unasemaje utasikia....aaaah ''NAKUMISS'' au
nakusalimia tu ila usisahau ile kitu TULIOONGEA.HII HAIFAI ULE SI MUDA WAKO NI MUDA WA KAZI.
5.Kama huwezi au huna uvumilivu,mwambie abaki nyumbani.
6.Utakuta watu kutwa nzima atapiga simu mara 10 hivi kwa mmewe/mkewe akiwa kazini.
7.Au wengine haipiti siku lazima aende kwa mkewe/mumewe anakofanyia kazi sijui WIVU?utamfumania nani wewe ofisini? watu kutwa nzima wapo pamoja wakitaka wataiiiiiiiiiiiba hadi wachoke.......achana nao USIMFUATILIE MPENZIO KAZINI...TABIA MBAYA SANA
Hayo ni mawazo yangu samahani kama nawakwaza wadau wa JF